Video SERIKALI YATOA TAMKO DABI YA KARIAKOO JUNI 15 | YANGA vs SIMBA KITAUMANA KWA MKAPA? Ijumaa, Mei 30, 2025
PRIME Faili la Jonathan Sowah latua kwa MO KABLA hata dirisha la usajili halijatangazwa kufunguliwa, mabosi wa klabu kubwa za soka nchini wameanza kazi kimyakimya kusaka nyota wapya kwa msimu ujao, huku faili ya straika wa Singida Black...
PRIME Hatuchezi yachukua sura mpya MSISITIZO wa Yanga wa kutocheza Dabi ya Kariakoo bado upo palepale. Inaelezwa kuwa Yanga, haitacheza Dabi ya Kariakoo Juni 15 mwaka huu dhidi ya Simba hadi haki yao ipatikane baada ya mechi hiyo...
PRIME Maajabu sita ya Fiston Mayele Afrika Jumapili, Juni Mosi, 2025, mshambuliaji wa zamani wa Yanga na AS Vita Club, Fiston Mayele aliiongoza Pyramids FC ya Misri kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya timu hiyo ya Misri...