Video SALUM TELELA ASIMULIA MAJERAHA YALIVYO MUONDOA YANGA, ATAJA KISA UGOMVI WAKE NA KOCHA HANS PLUIJM Ijumaa, Mei 16, 2025
PRIME Mechi bado mbichi... Rekodi zaibeba Simba SIMBA imepoteza kwa mabao 2-0 juzi usiku katika pambano la kwanza la fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika mbele ya RS Berkane ikiwa ugenini, huku kilichoiangusha kikibainika, lakini kocha Fadlu...
PRIME Kigogo TFF atia neno fainali CAFCC kuchezwa Zanzibar SIMBA imerejea nchini ikitokea Morocco ilikopoteza mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika mbele ya RS Berkane kwa mabao 2-0, lakini kuna taarifa moja ngumu ambayo hakuna namna...
PRIME Kilichoiua Simba Morocco hiki hapa, yapewa nondo za kuibeba nyumbani MCHEZO wa fainali ya mkondo wa kwanza Kombe la Shirikisho Afrika baina ya RS Berkane dhidi ya Simba umemalizika nchini Morocco kwa wenyeji kushinda 2-0, hivyo kwa sasa ni kuuendea wa marudiano...