Video SAKATA LA YANGA, SIMBA KUSUSIA DABI LAIBUKA BUNGENI, “HATUWEZI KUWA NA VIONGZI WAHUNI….. Alhamisi, Mei 08, 2025
PRIME Mzize akomaa Ligi Kuu, vita mpya yaibuka MSHAMBULIAJI wa Yanga, Clement Mzize ameiva. Angalia katika orodha ya wafungaji mabao wa Ligi Kuu Bara ndio utaelewa.
Man United yafuta sherehe za tuzo MANCHESTER United imefuta sherehe za mwisho wa msimu za kupeana tuzo pamoja na kupata mlo wa pamoja baada ya timu hiyo kufanya vibaya kwenye Ligi Kuu England.
PRIME Mambo matatu kuibeba Simba Morocco KOCHA wa Simba, Msauzi Fadlu Davids anaamini kuna mambo matatu muhimu ambayo yanaweza kuibeba Simba kwenye mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane ya Morocco...