PRIME Fadlu ageuka mbogo Simba, acharukia mastaa KOCHA wa Simba, Fadlu Davids amegeuka mbogo kwa kuwacharukia mastaa wa timu hiyo kutokana na matokeo ya mechi nne za viporo vya Ligi Kuu Bara, akiwakumbusha pia kazi iliyopo mbele yao katika...
Singida Black Stars yaanza kuzidai pesa za Gomez MABOSI wa Singida Black Stars wameiandikia barua Wydad Casablanca ya Morocco kudai malipo ya mauzo ya mshambuliaji, Seleman Mwalimu ‘Gomez’ waliyemuuza kupitia dirisha dogo la usajili akitokea...
Simba ubingwa Shirikisho Afrika unawezekana Jumamosi wiki hii, Mei 17, wawakilishi wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho Afrika, Simba wanatupa karata katika mechi ya kwanza ya hatua ya fainali ya mashindano hayo msimu huu.