Video MASTAA SIMBA WAELEZA UGUMU WA STELLENBOSCH, WAANIKA MIPANGO YA KUTINGA FAINALI CAFCC Ijumaa, Aprili 25, 2025
PRIME Mechi bado mbichi... Rekodi zaibeba Simba SIMBA imepoteza kwa mabao 2-0 juzi usiku katika pambano la kwanza la fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika mbele ya RS Berkane ikiwa ugenini, huku kilichoiangusha kikibainika, lakini kocha Fadlu...
PRIME Kigogo TFF atia neno fainali CAFCC kuchezwa Zanzibar SIMBA imerejea nchini ikitokea Morocco ilikopoteza mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika mbele ya RS Berkane kwa mabao 2-0, lakini kuna taarifa moja ngumu ambayo hakuna namna...
Yanga yamuuza rasmi Aziz KI, acheza mechi ya mwisho Kama umemuona kiungo Stephanie Aziz KI uwanjani leo akiichezea Yanga basi umebahatika kumtazama kwa mara ya mwisho kiungo huyo akiwa na jezi ya timu hiyo.