Video MANGUNGU ATUPA DONGO GIZANI BAADA YA KUIKANDA AL MASRY, TAZAMA BALAA LAKE KUTINGA NUSU FAINALI CAFCC Alhamisi, Aprili 10, 2025
PRIME Stellenbosch yapata pigo, kocha akuna kichwa KIKOSI cha Stellenbosch kilitarajiwa kutua nchini jana tayari kwa pambano la kwanza la nusu fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Simba, huku ikipata pigo.
PRIME Kocha Yanga amhakikisha Chama maisha KOCHA wa Yanga, Miloud Hamdi avunja ukimya kuhusu kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Clatous Chama akisema kwa sasa gari ndo limewaka na wala hana presha ya kuchagua nani wa kuanza kikosini.
PRIME Hamdi aja na mkakati wa siku 5 Yanga KOCHA Mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi amesema licha ya ugumu wa ratiba iliyonayo timu hiyo, lakini ametengeneza mkakati kabambe wa siku tano ili kuendelea kugawa dozi kama kawaida katika Ligi Kuu...