Huyu ndiye Vozinha kipa wa Cape Verde aliyeiduwaza Hispania
KIPA mkongwe wa timu ya taifa ya Cape Verde, Josimar José Évora Dias maarufu kama Vozinho, ameonyesha ubora wa juu akifanya 'sevu' nne kipindi cha kwanza dhidi ya Hispania katika mechi ya Kombe...