Video GEORGE MPOLE AREJEA TANZANIA, AFUNGUKA MAISHA YA CONGO KAMA MCHEZAJI, AIKATAA GEITA GOLD Jumamosi, Juni 08, 2024
PRIME Yanga yamleta Dar beki wa Mazembe BEKI wa TP Mazembe ya DR Congo, Ibrahim Keita yupo njiani kuja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mabosi wa Yanga inayompigia hesabu kumsajili kwa kikosi cha msimu ujao.
PRIME Fadlu atoa kauli nzito CAF SIMBA imeumia. Mashabiki wamebeba majonzi. Viongozi wamesalia na maswali. Lakini katikati ya huzuni hii nzito, moto mpya unawashwa Msimbazi. Moto wa mageuzi. Moto wa kulipiza kisasi kwa njia ya...
PRIME Percy Tau mezani Yanga DAU la kuvutia walilopata baada ya kuondoka kwa Stephane Aziz KI Yanga, kumeifanya klabu hiyo mapema kuingia sokoni kumsaka mbadala wake ambapo hadi sasa ina majina ya wachezaji wawili walio...