Liverpool wakacha dili la Barella

Tuesday August 03 2021
liver pic

Liverpool imeamua kujiweka kando kwenye dili la kutaka kumsainisha kiungo wa Inter Milan na Italia Nicolo Barella, 24, katika dirisha hili.

Mkataba wa fundi huyu unamalizika mwaka 2024. Liver imevutia na kiwango cha Barella alichoonyesha kwenye michuano ya Euro mwaka huu akiwa na timu ya taifa ya Italia iliyochukua ubingwa.

Advertisement