Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

uzinduzi wa klabu ya Maweni City FC.

Mtaalamu wa kompyuta, James Mbatia (katikati)

NA CHARLES ONGADI Mtaalamu wa kompyuta, James Mbatia (katikati) , wakiwa katika sherehe ya uzinduzi wa klabu ya Maweni City FC. Uzinduzi huo ulifanyika kwenye Uwanja wa Ngala, Shehe alisema uongozi mzuri katika soka ndiyo mwanzo wa mafanikio kwa wachezaji.Mchezo huo ni wa kusaka tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Dunia kwa wasichana wa umri huo. Wachezaji hao ambao tayari wameshawasili Nairobi kujiunga na kambi ya timu hiyo katika Uwanja wa Nyayo ni Terry Ouko na Jackline Ogol (Spedag), Mbeyu Akida (MTG), Meali Mbuche (Ukunda Queens) pamoja na Tatu Jomeka na Clarence Mapenzi (Furaha). Wakati huohuo, Chama cha Soka Kenya (FKA) kimetoa mwaliko kwa timu kushiriki mashindano ya Kombe la Jamhuri kwa timu za wanawake. Mechi hizo zitafanyika kuanzia Desemba 9 hadi 12. Kwa mujibu wa Mwakilishi wa soka ya wanawake tawi la Pwani Kusini, Asha Pili Ramadhan, timu bingwa itazawadiwa Sh 15,000, kikombe, seti ya jezi, medali, cheti na mpira wakati itakayoshika nafasi ya pili itapewa kikombe, seti ya jezi na mpira. Pia kutakuwa na zawadi nyingine za Mchezaji Bora, Kipa Bora na pamoja na ile ya timu yenye nidhamu bora.