Nyuma ya Pazia: Wachezaji kama Origi wanaudhi kweli kweli
Muktasari:
Alifunga bao muhimu dhidi ya Newcastle. Bao lililoamua mechi na kuipa ushindi Liverpool dakika za mwishoni kabisa. Vipi kuhusu mechi ya Liverpool na Barcelona pale Anfield? Barcelona ilihitajika kushinda mabao 4-0.