Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Mfaume Mfaume apata ajali Singida

Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Mfaume Mfaume 'Mapafu  ya Mbwa' amenusurika kifo katika ajali iliyotokea jana mkoani Singida ikihusisha gari yake ilioharibika vibaya.

Kwa mujibu wa Msemaji wa kambi ya Team Naccoz, Feiz amesema kuwa ajali hiyo imetokea jana na wote wametoka salama.

Ajali hiyo imemuhusisha Mfaume na baadhi ya ndugu zake ambao walikuwa wakielekea Singida katika jambo la kifamilia pamoja na kwenda Mwanza kumsapoti mmoja kati ya mabondia wa Team  Naccoz anayetarajia kupigana kesho Ijumaa kwenye pambano la Boxing Royal Tour.