Maana ya ubashiri wa over/under na jinsi unavyofanya kazi

Je, hauna uhakika kuhusu neno “kubashiri over/under”? Je ni sawa na “kubashiri total”? Usihofu, tupo hapa kukusaidia kukupatia muongozo huu wa kina, uliojawa kila kitu unachokihitaji kujua kuhusu kanuni za kubetia over/under.

Aina hizi za ubashiri ni rahisi kuzielewa na zinaweza kuwa na faida kama zikitumika kwa busara. Muongozo huu rahisi kutumia wa kubashiri over/under utakupitisha kwenye maana ya aina hii ya ubashiri na jinsi ya kubashiri kupitia SportPesa.

Kubashiri over/under muda mwingine hujulikana kama kubashiri kwa total. Hili ni kwa sababu kubashiri huku kumejikita katika alama za jumla katika mchezo.

Tunapoongelea kuhusu total, tunarejea kwenye jumla ya idadi ya magoli, kadi ama kona katika mchezo. Hii humaanisha idadi ya magoli yaliyofungwa na timu zote mbili yakijumlishwa pamoja.

Hivyo, kama Chelsea inacheza na Arsenal na Chelsea inafunga goli moja na Arsenal inafunga mawili, jumla ya yote inakuwa magoli matatu (1+2=3).

Wakati wa kuweka ubashiri wa over-under, unabashiri juu ya au chini ya jumla Fulani ambapo wakati mwengine inaweza kuwa kadi ama kona katika mchezo.

Kwa maana hii meneja ubashiri anaweka odds kwenye kampuni dhidi ya kila matokeo yanayowezekana na unabashiri ikiwa alama ya jumla itakuwa ni juu ya au chini.

Kama unavyoweza kugundua, totals zimepangwa kama 5, kama vile magoli, kona au kadi 1.5 au 2.5. Bila shaka haiwezekani kupata nusu ya goli, kadi ama kona hii ni kwa ajili ya kuepuka mkanganyiko.

Wakati umebashiri O/U, hubashiri alama Fulani bali mlolongo wa magoli (isipokuwa ukibashiri chini ya 0.5 ambayo yangekuwa magoli sifuri).

Kwa mfano, kama unabashiri kuwa jumla yote itakuwa chini ya 2.5, ina maana kuwa idadi ya jumla ya magoli yote ingekuwa ni sifuri, moja au mawili.

Kinyume chake, kama unabashiri juu ya 2.5, maana yake ni kwamba kutakuwa na magoli matatu, manne, matano, sita, saba, nane na kuendelea.

Kama unataka kubashiri over/under unaweza pia kuweka mikeka kwenye alama ya muda wa mapumziko badala ya mchezo wa muda kamili.

SportPesa inajivunia kuwa na mkusanyiko bora wa fursa za kubashiri mtandaoni. hawaamini tu kuwa wateja wao wanapaswa kuweza kubashiri kwenye aina zote tofauti za mbinu za ubashiri, lakini pia wanataka kuhakikisha kwamba wanatoa fursa nyingi za ubashiri kwenye michezo mingi kwa ujumla.