Mshambuliaji wa Azam,Shabani Iddi akikabidhiwa mpira na mwamuzi wa mchezo, Bernard Mfubusa baada ya mchezaji huyo kufunga mabao manne katika mechi ya robo fainali Kombe la Kagame kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Picha na Michael Matemanga