Fainali NBA mambo yanaanza HATIMAYE pazia la Fainali za NBA limefunguliwa leo alfajiri, huku New York Knicks na San Antonio Spurs zikikabiliana katika vita ya kuwania ubingwa unaoweza kumaliza ukame wa muda mrefu wa mataji...
Singida Black Stars yamfungia kazi msauzi Singida Black Stars imeanza mipango ya kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao kwa kuweka macho kwa kiungo mshambuliaji wa Golden Arrows ya Afrika Kusini, Siyanda ‘Skhwishi’ Ndlovu.
Makonda atoa masharti mazito kwa vijana wa Serengeti boys WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema tayari baadhi ya klabu zimeanza kuvutiwa na nyota wa Serengeti Boys baada ya kiwango walichoonyesha kwenye fainali za Mataifa...
Dili iliyokufa - 8 ILIPOISHIA Zainab akatabasamu. “Nitafurahi sana” “Nataka mke wangu upate afya nzuri uweze kumlea mtoto wetu aliye tumboni mwako” “Usijisahau mume wangu. Ukumbuke kuwa umeacha mke wako akiwa...
Chipukizi, New Kings bado zina nafasi ZPL USHINDI wa bao 1-0 wa Polisi dhidi ya Chipukizi katika mchezo wa Ligi Kuu Zanzibar uliochezwa Uwanja wa Gombani, Pemba, umeongeza presha kwa Chipukizi na New Kings katika vita vya kujiokoa...
Wawi Stars, Chipukizi fainali FA Pemba BINGWA mtetezi wa Kombe la FA Kanda ya Pemba, Chipukizi United, itakutana na Wawi Stars katika fainali ya michuano hiyo mwaka huu.
Kocha Uhamiaji apata dawa ZPL WAKATI Uhamiaji ikipitia kipindi kigumu cha matokeo baada ya kucheza mechi sita mfululizo bila ushindi, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Abdul Saleh, amesema amepata suluhu ya changamoto zilizokuwa...
Pigo la kihisia Arsenal baada ya kupoteza UEFA KLABU ya Arsenal ilipata mpasuko wa moyo, yaani huzuni kali, mara baada ya kupoteza mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Paris Saint-Germain, Jumamosi, Mei 30, 2026.
Mkenya kulamba dili jipya Pamba Jiji MABOSI wa Pamba Jiji wameanza mchakato wa kumuongezea mkataba mpya mshambuliaji wa kikosi hicho, Mkenya Mathew Momanyi Tegisi baada ya kuridhishwa na kiwango chake tangu amejiunga na timu hiyo.
Leao aendelea kuitesa Man United, ikipanga kuvunja benki MANCHESTER United imeweka jina la winga wa AC Milan na Ureno, Rafael Leao (26), kwenye orodha ya wachezaji inaowahitaji kwa udu na uvumba, ikiwa ni siku chache baada ya kuelezwa kwamba klabu...