Picha Yanga yatua Dar Jumapili, Oktoba 30, 2022 Kikosi cha Yanga tayari kimewasili jijini Dar es Salaam kikitokea Mwanza ambapo walicheza mechi ya Ligi Kuu NBC dhidi ya wenyeji wao Geita Gold jana Jumamosi na kuibuka na ushindi wa bao 1-0, mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba. Photo: 1/4 View caption Photo: 2/4 View caption Photo: 3/4 View caption Photo: 4/4 View caption
Dejan atoa sababu tatu, sinema nzima ilikuwa hivi... ‘KWAHERI Mzungu...Kwaheri Mzungu...ndio kibwagizo kilichosikika mchana wa jana wakati, straika wa Simba, Dejan Georgijevic alipowasili Bandarini Jijini Dar es Salaam, akitokea visiwani Zanzibar...
Bangala amkaushia Ibenge KIRAKA wa Yanga, Yannick Bangala, amevunja ukimya na kuwatumia salamu mashabiki wa klabu hiyo kuwa, iwe isiwe ni lazima chama lao litinge makundi, huku akimfungia vioo kocha wake wa zamani...
Siku 52 za Dejan Simba, kisa cha kuondoka Nyota huyo aliondoka kambini kwenda Bandarini kwa ajili ya kurejea Dar es Salaam alikofika saa 8:30 mchana kisha alikwenda ofisi za Simba kukamilisha taratibu zake za kumalizana na timu hiyo ili...