Klabu ya Yanga imeandika rekodi mpya ya kucheza mechi 49 za Ligim Kuu bila kupoteza baada ya kuifunga Mbeya City mabao 2-0 katika uwanja wa Benjamin Mkapa.
Mabao mawili ya Fiston Mayele dhidi ya Mbeya City yamemfanya kufikisha 10 katika ligi akifuatiwa na Sixtus Sabilo mwenye 7.