ePaper

Mwanaspoti

Tafuta

Picha Picha

Search
  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha

  • ePaper

    • Mwanaspoti

Picha

Yanga: Kuna mwenye swali?

Jumatatu, Februari 20, 2023

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye kombe la Shirikisho Afrika Yanga, imepata ushindi wa kwanza nyumbani Uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye mchezo dhidi ya TP Mazembe kutokea DR Congo.

Baada ya mchezo wa leo Februari 19, Yanga itakwenda kucheza mchezo wa tatu katika kundi ugenini dhidi ya Real Bamako na mchezo huo utapigwa kwenye ardhi ya Mali.

Wakati huo TP Mazembe itakuwa na kazi dhidi ya vinara wa kundi US Monastir.


Photo: 1/4   

Photo: 2/4   

Photo: 3/4   

Photo: 4/4   

Thank you for reading Nation.Africa

Show plans

In the headlines

  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha
  • Dejan atoa sababu tatu, sinema nzima ilikuwa hivi...

    ‘KWAHERI Mzungu...Kwaheri Mzungu...ndio kibwagizo kilichosikika mchana wa jana wakati, straika wa Simba, Dejan Georgijevic alipowasili Bandarini Jijini Dar es Salaam, akitokea visiwani Zanzibar...

    Soka Sep 30
  • Bangala amkaushia Ibenge

    KIRAKA wa Yanga, Yannick Bangala, amevunja ukimya na kuwatumia salamu mashabiki wa klabu hiyo kuwa, iwe isiwe ni lazima chama lao litinge makundi, huku akimfungia vioo kocha wake wa zamani...

    Soka Sep 30
  • Siku 52 za Dejan Simba, kisa cha kuondoka

    Nyota huyo aliondoka kambini kwenda Bandarini kwa ajili ya kurejea Dar es Salaam alikofika saa 8:30 mchana kisha alikwenda ofisi za Simba kukamilisha taratibu zake za kumalizana na timu hiyo ili...

    Soka Sep 29

All Top Stories
  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha
  • Contact us
  • Webmail
  • ePaper
  • Frequently asked questions
  • NMG Privacy Policy
  • Terms of use
  • Terms and Conditions of Use
  • Our Blog Rules

Mwanaspoti © 2023

Decoration