ePaper

Mwanaspoti

Search
Log in Sign up
My Account
  • Personal details
  • Change password
  • Purchases

Picha Picha

Search
  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha

  • ePaper

    • Mwanaspoti

Picha

Stars yaichapa Niger kufuzu Afcon

Jumatatu, Juni 19, 2023

TIMU ya taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ imeichapa Niger bao 1-0, katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika (Afcon) zitakayofanyika mwakani nchini Ivory Coast.

Bao pekee la Stars katika mchezo huo wa nne kuwania kufuzu Afcon limefungwa na mshambuliaji Saimom Msuva dakika ya 69 akimalizia pasi iliyopigwa na beki Novatus Dismas kutokea upande wa kushoto.

Ushindi huo umeifanya Stars kufikisha alama saba kwenye kundi F, nyuma ya Vinara Algeria wenye 12 ambao tayari wamefuzu na sasa wapo uwanjani kucheza na Uganda yenye alama nne nafasi ya tatu.

Photo: 1/4   

Photo: 2/4   

Photo: 3/4   

Photo: 4/4   

Thank you for reading Nation.Africa

Show plans

Join the discussion

Commenting as Please add your name to your Nation profile to comment

In the headlines

  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha
  • Dejan atoa sababu tatu, sinema nzima ilikuwa hivi...

    ‘KWAHERI Mzungu...Kwaheri Mzungu...ndio kibwagizo kilichosikika mchana wa jana wakati, straika wa Simba, Dejan Georgijevic alipowasili Bandarini Jijini Dar es Salaam, akitokea visiwani Zanzibar...

    Soka Sep 30, 2022
  • Bangala amkaushia Ibenge

    KIRAKA wa Yanga, Yannick Bangala, amevunja ukimya na kuwatumia salamu mashabiki wa klabu hiyo kuwa, iwe isiwe ni lazima chama lao litinge makundi, huku akimfungia vioo kocha wake wa zamani...

    Soka Sep 30, 2022
  • Siku 52 za Dejan Simba, kisa cha kuondoka

    Nyota huyo aliondoka kambini kwenda Bandarini kwa ajili ya kurejea Dar es Salaam alikofika saa 8:30 mchana kisha alikwenda ofisi za Simba kukamilisha taratibu zake za kumalizana na timu hiyo ili...

    Soka Sep 29, 2022

All Top Stories
  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha
  • Contact us
  • Webmail
  • ePaper
  • Frequently asked questions
  • NMG Privacy Policy
  • Terms of use
  • Terms and Conditions of Use
  • Our Blog Rules

Nation Media Group © 2023

Decoration