ePaper

Mwanaspoti

Search
Log in Sign up
My Account
  • Personal details
  • Change password
  • Purchases

Picha Picha

Search
  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha

  • ePaper

    • Mwanaspoti

Picha

Simba yatanguliza mguu nusu fainali Ligi ya Mabingwa

Jumatatu, Aprili 24, 2023

DAKIKA 90 za mchezo wa mkondo wakwanza kati ya Sinba na Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Wydad Casablanca umemalizika kwa Simba kupata ushindi wa bao 1-0.
Simba ambayo itatakiwa kusafiri kwa ajili ya mchezo wa marudiano kule Morocco Aprili 29 itakuwa na kazi ya ziada ya kulinda bao hilo ili kusonga kwenye hatua ya nusu fainali.
Simba ilijipatia bao lao pekee kwenye mchezo huu kupitia  straika wao kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jean Baleke dakika ya 31.

Photo: 1/4   

Photo: 2/4   

Photo: 3/4   

Photo: 4/4   

Thank you for reading Nation.Africa

Show plans

Join the discussion

Commenting as Please add your name to your Nation profile to comment

In the headlines

  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha
  • Dejan atoa sababu tatu, sinema nzima ilikuwa hivi...

    ‘KWAHERI Mzungu...Kwaheri Mzungu...ndio kibwagizo kilichosikika mchana wa jana wakati, straika wa Simba, Dejan Georgijevic alipowasili Bandarini Jijini Dar es Salaam, akitokea visiwani Zanzibar...

    Soka Sep 30, 2022
  • Bangala amkaushia Ibenge

    KIRAKA wa Yanga, Yannick Bangala, amevunja ukimya na kuwatumia salamu mashabiki wa klabu hiyo kuwa, iwe isiwe ni lazima chama lao litinge makundi, huku akimfungia vioo kocha wake wa zamani...

    Soka Sep 30, 2022
  • Siku 52 za Dejan Simba, kisa cha kuondoka

    Nyota huyo aliondoka kambini kwenda Bandarini kwa ajili ya kurejea Dar es Salaam alikofika saa 8:30 mchana kisha alikwenda ofisi za Simba kukamilisha taratibu zake za kumalizana na timu hiyo ili...

    Soka Sep 29, 2022

All Top Stories
  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha
  • Contact us
  • Webmail
  • ePaper
  • Frequently asked questions
  • NMG Privacy Policy
  • Terms of use
  • Terms and Conditions of Use
  • Our Blog Rules

Nation Media Group © 2023

Decoration