RS Berkane bingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika 2021/22
Klabu ya RS Berkane ya nchini Morocco ndio mabingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika 2021/22 baada ya kushinda kwa mikwaju ya penalti 5-4 dhidi ya Orlando Pirates waliomaliza dakika 120 matokeo yakiwa 1-1.