Picha MAKTABA: Picha za matukio mbalimbali ya kocha Ramovic akiwa Yanga Jumanne, Februari 04, 2025 Picha mbalimbali zikimuonyesha kocha wa Yanga, Sead Ramovic akiwa kwenye majukumu yake katika mechi mbalimbali za kimataifa, Ligi Kuu na mazoezini. Photo: 1/8 View caption Photo: 2/8 View caption Photo: 3/8 View caption Photo: 4/8 View caption Photo: 5/8 View caption Photo: 6/8 View caption Photo: 7/8 View caption Photo: 8/8 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
PRIME Mpanzu ameanza balaa kaeni kwa kutulia KIUNGO mshambuliaji wa Simba Ellie Mpanzu, ameanza kujipata baada ya juzi kutupia bao la kwanza katika Ligi Kuu Baara, wakati Wekundu wakipata ushindi wa mabao 3-0 nyumbani dhidi ya Tanzania...
Opah alivyotua kusaka namba Mexico MSHAMBULIAJI Opah Clement wiki hii ametambulishwa FC Juarez ya Mexico inayoshiriki Ligi ya Wanawake nchini humo na kumfanya aongeze idadi ya nyota wa Tanzania wanaocheza ligi hiyo baada ya...
Mpanzu, Chasambi wang’ara Simba ikiichapa Tanzania Prisons Ladack Chasambi na Elie Mpanzu wamekuwa habari ya mjini leo baada ya kuiongoza Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam.