Picha Kilele cha Wiki ya Mwananchi kilifana Ijumaa, Septemba 30, 2022 Ukiachana na kupoteza mchezo dhidi ya Vipers SC ya Uganda katika kilele cha Wiki ya Mwananchi iliyofanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, tamasha hilo lilifana baada ya kuwa na vitu tofauti tofaoti vya kutoa burudani kwa mashabiki. Photo: 1/5 View caption Photo: 2/5 View caption Photo: 3/5 View caption Photo: 4/5 View caption Photo: 5/5 View caption Join the discussion Login with your Nation account Commenting as Please add your name to your Nation profile to comment Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
Yanga yakimbilia CAF kulidai bao la Aziz Ki Saa chache tangu Yanga itolewe katika mechi za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kufungwa kwa penalti 3-2 na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini, imeamua kukimbilia Shirikisho la Soka...
PRIME Mazembe yaiweka Simba mtegoni SIKU chache tangu itolewe katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Wekundu wa Msimbazi, Simba inanyemelewa na pigo lingine ambalo ni kushuka kwa nafasi tatu kwenye viwango vya...
PRIME Mo atuliza presha Simba Wakati timu ya Simba ikiwa imebakiza kuwania kombe moja tu msimu huu, Rais wa Heshima wa klabu hiyo, Mohamed Dewji ‘Mo’ amewasiliana na benchi la ufundi na wachezaji wote wa timu hiyo, akitaka...