ePaper

Mwanaspoti

Tafuta

Picha Picha

Search
  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha

  • ePaper

    • Mwanaspoti

Picha

Fei Toto aaga rasmi Yanga

Jumamosi, Desemba 24, 2022

Kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ ameaga rasmi Yanga baada ya kuwepo na tetesi kuwa amesaini na timu ya Azam FC.
"Umekuwa wakati mzuri sana kuichezea klabu ya Young Africans SC (Yanga) klabu yenye historia kubwa na ya kuvutia nchini na Afrika yote. Tumekuwa na nyakati nyingi mchanganyiko, tulifurahi pamoja pale furaha ilipokuja uelekeo wet na tulihuzunika pamoja nyakatimbaya zilipotutokea
Nitakumbuka mengi mazuri yaliyotukea pamoja na nitasahau yote mabaya kwa haraka sana. Kila nikiwakumbuka mashabiki wa WANANCHI moyo unakua mzito kuwaaga hivyo hivyo kwa wachezaji wenzangu na viongozi pia kwa upendo mlionionyesha tukiwa pamoja kwenye shida na raha.
Lakini lisilo budi hutendwa au hunenwa kwahiyo leo nasema KWAHERINI WANANCHI. lla maisha ndivyo yalivyo mambo huja na kupita na kuna wakati yanajirudia, mpaka wakati mwingine tena, Kwaheri ya kuonana." inasema taarifa ya Fei Toto.
Fei Toto ameenda mbali zaidi baada ya kuondoa utambulisho wa Yanga kwenye mitandao yake ya kijamii.

Photo: 1/4   

Photo: 2/4   

Photo: 3/4   

Photo: 4/4   

Thank you for reading Nation.Africa

Show plans

In the headlines

  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha
  • Dejan atoa sababu tatu, sinema nzima ilikuwa hivi...

    ‘KWAHERI Mzungu...Kwaheri Mzungu...ndio kibwagizo kilichosikika mchana wa jana wakati, straika wa Simba, Dejan Georgijevic alipowasili Bandarini Jijini Dar es Salaam, akitokea visiwani Zanzibar...

    Soka Sep 30
  • Bangala amkaushia Ibenge

    KIRAKA wa Yanga, Yannick Bangala, amevunja ukimya na kuwatumia salamu mashabiki wa klabu hiyo kuwa, iwe isiwe ni lazima chama lao litinge makundi, huku akimfungia vioo kocha wake wa zamani...

    Soka Sep 30
  • Siku 52 za Dejan Simba, kisa cha kuondoka

    Nyota huyo aliondoka kambini kwenda Bandarini kwa ajili ya kurejea Dar es Salaam alikofika saa 8:30 mchana kisha alikwenda ofisi za Simba kukamilisha taratibu zake za kumalizana na timu hiyo ili...

    Soka Sep 29

All Top Stories
  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha
  • Contact us
  • Webmail
  • ePaper
  • Frequently asked questions
  • NMG Privacy Policy
  • Terms of use
  • Terms and Conditions of Use
  • Our Blog Rules

Mwanaspoti © 2023

Decoration