Simba yatumia dakika 40 Jangwani, hali ya hewa yachafuka
DAKIKA 40 tu zimetosha kubadilisha hali ya hewa ya Jangwani jijini Dar es Salaam, baada ya Simba kufanya paredi la kusherehekea ubingwa wa Kombe la Shirikisho la CRDB ambapo msafara wao ulipita...