Picha Mashabiki waipamba KMC, Yanga vs KenGold Alhamisi, Februari 06, 2025 Baadhi ya mashabiki wa soka waliofika kwenye Uwanja wa KMC kuutazama mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga dhidi ya KenGold, mchezo uliosha kwa Yanga kupata ushindi wa mabao 6-0. Photo: 1/5 View caption Photo: 2/5 View caption Photo: 3/5 View caption Photo: 4/5 View caption Photo: 5/5 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
PRIME Kwa mziki huu, Simba itapindua meza Zanzibar SIMBA ina deni la mabao 2-0 dhidi ya RS Berkane lililotokana na kupoteza mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika iliyochezwa Jumamosi iliyopita mjini Berkane, Morocco.
PRIME Sasa ngoma ni Hamisa Mobetto dhidi ya Pep Guardiola! SIKU CHACHE zilizopita Hamisa, Miss XXL After School Bash 2010, alionekana Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), akimuaga Aziz Ki.
PRIME Kitakachomtokea Pacome Yanga baada ya Aziz KI kuondoka KUONDOKA kwa Stephane Azizi Ki Yanga kumeibua jambo kwa staa wa timu hiyo, Pacome Zouzoua.