Mkutano wa Yanga waanza

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji

Muktasari:

Mkutano mkuu wa dharura wa Yanga umeanza rasmi katika Ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo Mwenyekiti Yusuph Manji aliingia ukumbini saa tano na dakika 22.

Mkutano mkuu wa dharura wa Yanga umeanza rasmi katika Ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo Mwenyekiti Yusuph Manji aliingia ukumbini saa tano na dakika 22.

Baada ya kuingia Manji alisalimiana na wajumbe wa kamati ya uendaji, wanachama waliokaa viiti vya mbele na wazee wa klabu hiyo.