Watatoboa, hawatoboi?!

Muktasari:

  • Mchakamchaka ni uleule utahusisha vigogo sita ambao watachuana kuwania ubingwa huo unaoshikwa na Manchester City iliyoweka rekodi msimu uliopita kwa kukusanya pointi 100 katika mechi 38.

LIGI Kuu England mambo hadharani. Kila timu imeshafahamu ratiba yake ya msimu ujao utakavyokuwa kwa maana ataanza na nani na kumalizia na nani, na pia kama ni ugenini au nyumbani.

Mchakamchaka ni uleule utahusisha vigogo sita ambao watachuana kuwania ubingwa huo unaoshikwa na Manchester City iliyoweka rekodi msimu uliopita kwa kukusanya pointi 100 katika mechi 38.

Ligi hiyo itaanza mwezi Agosti na kutia nanga Mei mwakani, lakini shughuli kubwa inayowakabili mashabiki wa timu vigogo ni kutambua ni nani atakuwa na mwezi mgumu kwa msimu ujao.

Vigogo sita kwenye Ligi Kuu England ni Manchester United, Manchester City, Liverpool, Arsenal, Chelsea na Tottenham Hotspur, ambao ni hakika watakuwa kwenye vuta nikuvute kuwania ubingwa. Cheki hapa, mwezi kwa mwezi kuhusu ratiba ya vigogo hao wa Top Six, nani mwenye wakati mgumu?

ARSENAL

AGOSTI 2019

Agsoti 11 - Man City

(nyumbani)

Agosti 18 - Chelsea (ugenini)

Agosti 25 - West Ham

(nyumbani)

SEPTEMBA, 2018

Septemba 1 - Cardiff (ugenini)

Septemba 15 - Newcastle (ugenini)

Septemba 22 - Everton

(nyumbani)

Septemba 29 - Watford

(nyumbani)

OKTOBA, 2018

Oktoba 6 - Fulham (ugenini)

Oktoba 20 - Leicester (nyumbani)

Oktoba 27 - Crystal Palace (ugenini)

NOVEMBA, 2018

Novemba 3 - Liverpool (nyumbani)

Novemba 10 - Wolves (nyumbani)

Novemba 24 - Bournemouth (ugenini)

DESEMBA, 2018

Desemba 1 - Tottenham

(nyumbani)

Desemba 4 - Man United (ugenini)

Desemba 8 - Huddersfield

(nyumbani)

Desemba 15 - Southampton (ugenini)

Desemba 22 - Burnley

(nyumbani)

Desemba 26 - Brighton (ugenini)

Desemba 29 - Liverpool

(ugenini)

JANUARI, 2019

Januari 1 - Fulham (nyumbani)

Januari 12 - West Ham (ugenini)

Januari 19 - Chelsea (nyumbani)

Januari 29 - Cardiff (nyumbani)

FEBRUARI, 2019

Februari 2 - Man City (ugenini)

Februari 9 - Huddersfield (ugenini)

Februari 23 - Southampton (nyumbani)

Februari 26 - Bournemouth (nyumbani)

MACHI, 2019

Machi 2 - Tottenham (ugenini)

Machi 9 - Man United (nyumbani)

Machi 16 - Wolves (ugenini)

Machi 30 - Newcastle (nyumbani)

APRILI, 2019

Aprili 6 - Everton (ugenini)

Aprili 13 - Watford (ugenini)

Aprili 20 - Crystal Palace

(nyumbani)

Aprili 27 - Leicester (ugenini)

MEI, 2019

Mei 4 - Brighton (nyumbani)

Mei 12 - Burnley (ugenini)

CHELSEA

AGOSTI, 2018

Agosti 11 - Huddersfield

(ugenini)

Agosti 18 - Arsenal (nyumbani)

Agosti 25 Newcastle (ugenini)

SEPTEMBA, 2018

Septemba 1 - Bournemouth (nyumbani)

Septemba 15 - Cardiff City

(nyumbani)

Septemba 22 - West Ham (ugenini)

Septemba 29 - Liverpool

(nyumbani)

OKTOBA, 2018

Oktoba 6 - Southampton (ugenini)

Oktoba 20 - Man United

(nyumbani)

Oktoba 27 - Burnley (ugenini)

NOVEMBA, 2018

Novemba 3 - Crystal Palace (nyumbani)

Novemba10 - Everton

(nyumbani)

Novemba 24 - Tottenham (ugenini)

DESEMBA, 2018

Desemba 1 - Fulham (nyumbani)

Desemba 4 - Wolves (ugenini)

Desemba 8 - Man City

(nyumbani)

Desemba 15 - Brighton (ugenini)

Desemba 22 - Leicester City (nyumbani)

Desemba 26 - Watford (ugenini)

Desemba 29 - Crystal Palace (ugenini)

JANUARI, 2019

Januari 1 - Southampton

(nyumbani)

Januari 12 - Newcastle

(nyumbani)

Januari 19 - Arsenal (ugenini)

Januari 29 - Bournemouth (ugenini)

FEBRUARI, 2019

Februari 2 - Huddersfield

(nyumbani)

Februari 9 - Man City (ugenini)

Februari 23 - Brighton (nyumbani)

Februari 27 - Tottenham

(nyumbani)

MACHI, 2019

Machi 2 - Fulham (ugenini)

Machi 9 - Wolves (nyumbani)

Machi 16 - Everton (ugenini)

Machi 30 - Cardiff City (ugenini)

APRILI, 2019

Aprili 6 - West Ham (nyumbani)

Aprili 13 - Liverpool (ugenini)

Aprili 20 - Burnley (nyumbani)

Aprili 27 - Man United (ugenini)

MEI, 2019

Mei 4 - Watford (nyumbani)

Mei 12 - Leicester City (ugenini)

LIVERPOOL

AGOSTI, 2018

Agosti 11 - West Ham (nyumbani)

Agosti 18 - Crystal Palace (ugenini)

Agosti 25 - Brighton (nyumbani)

SEPTEMBA, 2018

Septemba 1 - Leicester City (ugenini)

Septemba 15 - Tottenham (ugenini)

Septemba 22 - Southampton (nyumbani)

Septemba 29 - Chelsea (ugenini)

OKTOBA, 2018

Oktoba 6 - Man City (nyumbani)

Oktoba 20 - Huddersfield (ugenini)

Oktoba 27 - Cardiff City (nyumbani)

NOVEMBA, 2018

Novemba 3 - Arsenal (ugenini)

Novemba 10 - Fulham (nyumbani)

Novemba 24 - Watford (ugenini)

DESEMBA, 2018

Desemba 1 - Everton (nyumbani)

Desemba 4 - Burnley (ugenini)

Desemba 8 - Bournemouth (ugenini)

Desemba 15 - Man United (nyumbani)

Desemba 22 - Wolves (ugenini)

Desemba 26 - Newcastle (nyumbani)

Desemba 29 - Arsenal (nyumbani)

JANUARI, 2019

Januari 1 - Man City (ugenini)

Januari 12 - Brighton (ugenini)

Januari 19 - Crystal Palace (nyumbani)

Januari 30 - Leicester City (nyumbani)

FEBRUARI, 2019

Februari 2 - West Ham (ugenini)

Februari 9 - Bournemouth (nyumbani)

Februari 23 - Man United (ugenini)

Februari 27 - Watford (nyumbani)

MACHI, 2019

Machi 2 - Everton (ugenini)

Machi 9 - Burnley (nyumbani)

Machi 16 - Fulham (ugenini)

Machi 30 - Tottenham (nyumbani)

APRILI, 2019

Aprili 6 - Southampton (ugenini)

Aprili 13 - Chelsea (nyumbani)

Aprili 20 - Cardiff City (ugenini)

Aprili 27 - Huddersfield (nyumbani)

MEI, 2019

Mei 4 - Newcastle United (ugenini)

Mei 12 - Wolves (nyumbani)

MAN CITY

AGOSTI, 2018

Agosti 11 - Arsenal (ugenini)

Agosti 18 - Huddersfield (nyumbani)

Agosti 25 - Wolves (ugenini)

SEPTEMBA, 2018

Septemba 1 - Newcastle (nyumbani)

Septemba 15 - Fulham (nyumbani)

Septemba 22 - Cardiff City (ugenini)

Septemba 29 - Brighton (nyumbani)

OKTOBA, 2018

Oktoba 6 - Liverpool (ugenini)

Oktoba 20 - Burnley (nyumbani)

Oktoba 27 - Tottenham (ugenini)

NOVEMBA, 2018

Novemba 3 - Southampton (nyumbani)

Novemba 10 - Man United (nyumbani)

Novemba 24 - West Ham (ugenini)

DESEMBA, 2018

Desemba 1 - Bournemouth (nyumbani)

Desemba 4 - Watford (ugenini)

Desemba 8 - Chelsea (ugenini)

Desemba 15 - Everton (nyumbani)

Desemba 22 - Crystal Palace (nyumbani)

Desemba 26 - Leicester City (ugenini)

Desemba 29 - Southampton (ugenini)

JANUARI, 2019

Januari 1 - Liverpool (nyumbani)

Januari 12 - Wolves (nyumbani)

Januari 19 - Huddersfield (ugenini)

Januari 30 - Newcastle (ugenini)

FEBRUARI, 2019

Februari 2 - Arsenal (nyumbani)

Februari 9 - Chelsea (nyumbani)

Februari 23 - Everton (ugenini)

Februari 27 - West Ham (nyumbani)

MACHI, 2019

Machi 2 - Bournemouth (ugenini)

Machi 9 - Watford (nyumbani)

Machi 16 - Man United (ugenini)

Machi 30 - Fulham (ugenini)

APRILI, 2019

Aprili 6 - Cardiff City (nyumbani)

Aprili 13 - Crystal Palace (ugenini)

Aprili 20 - Tottenham (nyumbani)

Aprili 27 - Burnley (ugenini)

MEI, 2019

Mei 4 - Leicester City (nyumbani)

Mei 12 - Brighton (ugenini)

MAN UNITED

AGOSTI, 2018

Agosti 11 - Leicester City (nyumbani)

Agosti 18 - Brighton (ugenini)

Agosti 25 - Tottenham (nyumbani)

SEPTEMBA, 2018

Septemba 1 - Burnley (ugenini)

Septemba 15 - Watford (ugenini)

Septemba 22 - Wolves (nyumbani)

Septemba 29 - West Ham (ugenini)

OKTOBA, 2018

Oktoba 6 - Newcastle (nyumbani)

Oktoba 20 - Chelsea (ugenini)

Oktoba 27 - Everton (nyumbani)

NOVEMBA, 2018

Novemba 3 - Bournemouth (ugenini)

Novemba 10 - Man City (ugenini)

Novemba 24 - Crystal Palace (nyumbani)

DESEMBA, 2018

Desemba 1 - Southampton (ugenini)

Desemba 4 - Arsenal (nyumbani)

Desemba 8 - Fulham (nyumbani)

Desemba 15 - Liverpool (ugenini)

Desemba 22 - Cardiff City (ugenini)

Desemba 26 - Huddersfield (nyumbani)

Desemba 29 - Bournemouth (nyumbani)

JANUARI, 2019

Januari 1 - Newcastle (ugenini)

Januari 12 - Tottenham (ugenini)

Januari 19 - Brighton (nyumbani)

Januari 30 - Burnley (nyumbani)

FEBRUARI, 2019

Februari 2 - Leicester City (ugenini)

Februari 9 - Fulham (ugenini)

Februari 23 - Liverpool (nyumbani)

Februari 26 - Crystal Palace (ugenini)

MACHI, 2019

Machi 2 - Southampton (nyumbani)

Machi 9 - Arsenal (ugenini)

Machi 16 - Man City (nyumbani)

Machi 30 - Watford (nyumbani)

APRILI, 2019

Aprili 6 - Wolves (ugenini)

Aprili 13 - West Ham (nyumbani)

Aprili 20 - Everton (ugenini)

Aprili 27 - Chelsea (nyumbani)

MEI, 2019

Mei 4 - Huddersfield Town (ugenini)

Mei 12 - Cardiff City (nyumbani)

TOTTENHAM

AGOSTI, 2018

Agosti 11 - Newcastle (ugenini)

Agosti 18 - Fulham (nyumbani)

Agosti 25 - Man United (ugenini)

SEPTEMBA, 2018

Septemba 1 - Watford (ugenini)

Septemba 15 - Liverpool (nyumbani)

Septemba 22 - Brighton (ugenini)

Septemba 29 - Huddersfield (ugenini)

OKTOBA, 2018

Oktoba 6 - Cardiff (nyumbani)

Oktoba 20 - West Ham (ugenini)

Oktoba 27 - Man City (nyumbani)

NOVEMBA, 2018

Novemba 3 - Wolves (ugenini)

Novemba 10 - Crystal Palace (ugenini)

Novemba 24 - Chelsea (nyumbani)

DESEMBA, 2018

Desemba 1 - Arsenal (ugenini)

Desemba 5 - Southampton (nyumbani)

Desemba 8 - Leicester (ugenini)

Desemba 15 - Burnley (nyumbani)

Desemba 22 - Everton (ugenini)

Desemba 26 - Bournemouth (nyumbani)

Desemba 29 - Wolves (nyumbani)

JANUARI, 2019

Januari 1 - Cardiff (ugenini)

Januari 12 - Man United (nyumbani)

Januari 19 - Fulham (ugenini)

Januari 30 - Watford (nyumbani)

FEBRUARI, 2019

Februari 2 - Newcastle (nyumbani)

Februari 9 - Leicester (nyumbani)

Februari 23 - Burnley (ugenini)

Februari 27 - Chelsea (ugenini)

MACHI, 2019

Machi 2 - Arsenal (nyumbani)

Machi 9 - Southampton (ugenini)

Machi 16 - Crystal Palace (nyumbani)

Machi 30 - Liverpool (ugenini)

APRILI, 2019

AprilI 6 - Brighton (nyumbani)

Aprili 13 - Huddersfield (nyumbani)

Aprili 20 - Man City (ugenini)

Aprili 27 - West Ham (nyumbani)

MEI, 2019

Mei 5 - Bournemouth (ugenini)

Mei 12 - Everton (nyumbani).