Kaka wa Pogba ajiuza England

Muktasari:

Staa huyo aliyezaliwa Guinea tofauti na mdogo wake aliyezaliwa Ufaransa alicheza vizuri Katinka mechi zote mbili ambazo timu yo ilicheza na Manchester United katika michuano ya Europa na amedai anataka kuungana na mdogo wake England.

Kaka wa staa wa Manchester United, Paul Pogba, Florentin Pogba,26,  amedai anataka kujipima kwa kukipiga katika Ligi Kuu ya England wakati huu akiwa amebakiza mwaka mmoja katika mkataba wake na klabu yake ya Saint-Etienne ya Ufaransa.