Vipara hawa nao vipi?

Muktasari:

Chuji ambaye kwa sasa anakipiga timu ya Daraja la Kwanza ya KMC ya Kinondoni, ameonekana kukomaa na staili hiyo ambayo ni ngumu kuigwa na chipukizi wengi ambao wanaonekana kupendelea viduku hasa wanapotua Simba na Yanga.