Nyoshi afunguka utofauti wake na Patcho, suala la mkorogo... Jina la Nyoshi lilikuwa kubwa zaidi alipokuwa akiitumikia Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ ‘Wazee wa Pamba’ jukwaani kabla ya kumiliki bendi yake mwenyewe inayoitwa Bogoss Musica ‘Nyumba...
CITY BULLS, JKT PAMOTO DAR KESHO UWANJA wa kikapu wa DB Osterbay unatarajiwa kuwaka moto wakati timu kongwe za kikapu nchini, JKT na Vijana (City Bulls) zitakapochuana kesho katika mchezo wa Ligi ya Kikapu ya Mkoa wa Dar es...