Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

974 results for Oscar Oscar :

  1. Yanga yatakata Dar, Simba yabanwa

    YANGA ikipukutisha mastaa wake wengi wa kikosi cha kwanza, iliichapa Rhino Rangers mabao 3-0 huku Simba ikishindwa kuishusha Azam kwenye usukani wa Ligi Kuu Bara.

  2. Brandts awatupa jukwaani Cannavaro, Barthez

    YANGA iliipiga Rhino ya Tabora mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Taifa jana Jumatano lakini beki Nadir Haroub ‘Cannavaro’ na kipa Ally Mustapha ‘Barthez’ wanaosengenywa na mashabiki wameingia mitini na...

  3. Mazoezi ya Moyes kero kwa Van Persie

    STRAIKA Mdachi, Robin van Persie ana mabao manne tu kwenye Ligi Kuu hadi sasa baada ya mechi nane. Amezidiwa na mastraika wengine kama Daniel Sturridge, Sergio Aguero na Loic Remy.

  4. Yanga wafanya vitu saa tatu, yaifumua Chipukizi ya Pemba

    BAADA ya kuifunga Chipukizi ya Pemba mabao 2-1 jana Jumatano, Kocha wa Yanga, Ernest Brandts, amewatuliza mashabiki wa timu hiyo akiwaambia kwamba mambo yanakwenda sawa hivyo wasiwe na mchecheto...

  5. Chelsea moto, Arsenal balaa

    MABAO mawili ya ‘chapchap’ katika dakika 10 za mwisho yaliyofungwa na Eden Hazard na Willian yalitosha kwa Chelsea kuisambaratisha Norwich City mabao 3-1 katika mechi ya Ligi Kuu England, jana...

  6. Pauni 253 mil zakaa benchi

    Licha ya klabu 20 za Ligi Kuu England kutumia pauni 630 milioni kuimarisha vikosi vyao, klabu hizo zimepata pigo baada ya nyota hao kuwa majeruhi.

  7. NYUMA YA PAZIA : Perez na peni yake ya Almasi

    NDEGE ya kifahari zaidi duniani Air Force One anapanda Rais wa Marekani. Haikutengenezwa kwa ajili ya usalama wa Rais wao tu pia ilitengenezwa kwa ajili ya kuonyesha ufahari wa Taifa la Marekani.

  8. ‘Bahati yao hao tungewafunga’

    Bahati yao ndiyo maneno waliyokuwa wakitambiana makocha, David Moyes wa Manchester United na Jose Mourinho wa Chealsea baada ya suluhu ya timu hizo jana jumatatu usiku kwenye ligi kuu ya...

  9. Yanga Africa : Kasi mpya,nguvu mpya

    YANGA haikutaka kubadili kikosi chake kilichotwaa ubingwa msimu uliopita. Imeongeza sura chache sana tofauti na mashabiki walivyotarajia kwamba wangesikia majina makubwa yanatua Jangwani kwa...

  10. Kocha Villa: Pasi za Oloya zinafaa Yanga

    KOCHA wa Sports Club Villa ya Uganda, Steven Bugere amenyanyua mikono juu na kusema Yanga ni babu kubwa na amesisitiza, Moses Oloya anafaa kukichezea kikosi cha Jangwani na si Simba.

Previous

Page 93 of 98

Next