NYUMA YA PAZIA: Kaisari anapomkumbatia zaidi Kaisari mwenzake >YUKO wapi yule aliyesema ya Kaisari mwachie Kaisari? Alikuwa anamaanisha kuwa mambo ya pesa au ya kidunia tuwaachie wenye dunia yao. Hakukosea sana. Sijawahi kusikia manabii wa zamani wakikosea.
Kauli za Jose Mourinho zilizotamba kwenye soka >JOSE Mourinho alipokwenda Old Trafford msimu huu na kikosi chake cha Chelsea kucheza na Manchester United kwenye Ligi Kuu England alichokifanya ni kupanga viungo na mabeki tu, huku timu yake...
Yanga, Costal Union zashindwa kuonyeshana ubabe VUMBI la Kiarabu limetimka mjini Tanga baada ya timu mbili ambazo ni Yanga na Coastal Union zilizokuwa zimepiga kambi kwenye nchi za Kiarabu kushindwa kuonyeshana ubabe.
Simba walioiua Yanga 5-0 wamebaki wawili tu >JUMAPILI ya Mei 6, 2012 kamwe haiwezi kusahaulika miongoni mwa wanachama na mashabiki wa Yanga baada ya timu yao kufungwa mabao 5-0 na Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Taifa...
Coastal Union yashikilia roho ya Yanga >KUNA mechi nne kesho Jumatano kwenye Ligi Kuu Bara ambazo zitachezwa Kagera, Dar es Salaam, Pwani na Tanga.
Lupita Nyong'o: Mkenya anayetesa Hollywood >MWIGIZAJI Mkenya, Lupita Nyong’o, anayetamba Hollywood, amewavutia maprodyuza wakimhitaji aigize kwenye filamu zao baada ya kufanya vizuri katika filamu ya ‘12 Years A Slave’ iliyoigizwa huko...
NINACHOKIAMINI: Nyota wa Yanga wanapocheza chai maharage Yombo! >NIMEKUWA najiuliza kwa muda mrefu kama Watanzania wanadharau au wanasingiziwa tu? Sijui, itatokana na mtazamo wa kila mmoja baada ya mjadala huu.
Yanga ya Kizungu Uturuki >YANGA imethubutu na imeweza. Kwa mara ya pili mfululizo itatua kwenye mji wa Antalya, Uturuki mchana wa leo Alhamisi kuweka kambi ya wiki mbili kujiandaa na Ligi Kuu Bara mzunguko wa pili na...
Kocha mpya Yanga aleta fomesheni ya Barcelona >WAKATI washambuliaji Emmanuel Okwi na Hamis Kiiza wakitarajiwa kuwasili Dar es Salaam jana Jumapili jioni, benchi jipya la ufundi la Yanga limeingia na mambo mapya.
Arsenal yakomaa kileleni HII ndio Arsenal bana, utawapenda tu. Ndicho unachoweza kusema baada ya wababe hao kung’ang’ania kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu England baada ya kuichapa Cardiff City mabao 2-0 kwenye Uwanja...