PRIME Aziz Ki afichua kinachomkwamisha Yanga STEPHANE Aziz Ki wa msimu uliopita, huwezi kumlinganisha na wa msimu huu, ukiangalia namba zake katika Ligi Kuu Bara zimeshuka sana huku mwenyewe akiweka wazi nini sababu ya yote hayo.
Kiungo Azam aibua matumaini mapya BAADA ya awali kuelezwa huenda kiungo wa Azam FC, Adolf Mtasingwa atakosa mechi zote za Ligi Kuu Bara zilizobaki, taarifa mpya ni kwamba anaweza kuziwahi zile za kumalizia msimu.
PRIME Sakata la Dabi: CAS kunaunguruma, kesi ya msingi ipo MAHAKAMA ya Kimataifa ya Usuluhishi ya Michezo CAS imeanza kufanya mambo yake ikiwasiliana rasmi na wahusika wakuu kesi ya klabu ya Yanga iliyofungua shtaka ikipinga pamoja na mambo mengine...
PRIME Hatma ya Chama Yanga ngoma ngumu HATMA ya kiungo Clatous Chama ndani ya Yanga bado inapasua kichwa baada ya mabosi wa timu hiyo kusubiri uamuzi wa kocha wao Miloud Hamdi ambaye anataka kumsoma zaidi kabla ya kutoa kauli ya...
Mpole ndo basi tena Kagera Sugar KAGERA Sugar imelifunga rasmi faili la kumshawishi mshambuliaji George Mpole kwa kile ilichodai haitaki kuharibu utulivu wa hesabu zao za kubaki Ligi kuu.
PRIME ZAKA: Usajili wa Mafisango Azam ulikuwa balaa –2 Wengi wanasema Azam inakaza dhidi ya Yanga, lakini inapocheza na Simba huwa unalegeza uzi. Hapa Zaka anafafanua akisema sio kweli, huku akitaja na rekodi za timu hizo mbili.
PRIME Yanga yamtisha Kocha Tabora United YANGA imemalizana na Songea United katika mchezo wa hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho (FA) uliochezwa jana Jumamosi na kituo kinachofuata ni mkoani Tabora huku Kocha Mzimbabwe Genesis...
PRIME Kutoka Misri... Kambi ya Simba hii hapa, yalindwa na walinzi 10 KAMA alivyosema Kocha wa Simba, Fadlu Davids kwamba watahakikisha wanaimaliza mechi dhidi ya Al Masry hukohuko Misri, ndicho walichoamua kukifanya mabosi wa timu hiyo kwa kukiweka kikosi sehemu...
Zaka Zakazi kisa Dube amfutia jina mwanawe -1 KWENYE soka la Tanzania kwa sasa ukitajiwa jina la Zaka Zakazi akili yako itahamia sehemu mbili tu. Utajiuliza labda anakusudiwa hayati Zacharia Hans Poppe aliyekuwa kiongozi wa Simba ukiambiwa...
PRIME Benchikha atia mkono Misri, aitaja Simba KOCHA wa zamani Simba, Abdelhak Benchikha, ambaye yupo nchini Misri akiifundisha Modern Sport,amewapa Simba mbinu tatu za haraka za kuwakabili Al Masry ya kupata matokeo Jumatano.