Kidunda: Ubabe mtaani ulivyompeleka ulingoni MOJA kati ya stori kubwa ya kichekesho aliyowahi kukutana nayo bondia wa ngumi za kulipwa nchini na bingwa wa mkanda wa mabara wa World Boxing Federation ‘WBF’ katika uzani wa Super Middle ni ile...
Simba, Yanga zaletewa bure mastaa 22 wa Safari Cup Dar Tangu Oktoba 2023, kombe hilo lilichezwa katika mikoa mbalimbali ikisimamiwa na makocha maarufu wa Tanzania ambao walipata idadi kubwa ya wachezaji wapya wa soka na kuwachuja mpaka kufikia idadi...
Ibra Class afungukia changamoto za ughaibuni hadi kuwa mfalme ulingoni “MAISHA ya mwanadamu ni hadithi tu hapa duniani, basi ndugu yangu kuwa hadithi nzuri kwa hao watakaosimuliwa.” Hii ni moja ya nukuu zenye ujumbe mzito zilizowahi kutolewa na Rais wa Awamu ya pili...
Mwakinyo mambo magumu, msimamizi WBO atoa masharti haya Hali bado si shwari kwa bondia Hassan Mwakinyo, kutokana na tukio la kushindwa kupanda ulingoni jana usiku kuzipiga na Mghana, Patrick Allotey kutetea ubingwa wa WBO Afrika.
Fainali FA Zazibar, Mzize, Sopu kazi ipo ILE vita iliyokuwapo katika Ligi Kuu Bara iliyomalizika mapema wiki hii katika mbio za Mfungaji Bora inajirudia tena Zanzibar katika fainali ya Kombe la Shirikisho (FA).
TPBRC yasimamisha pambano la Mwakinyo vs Mghana KAMATI ya mpito ya Kamisheni ya Kusimamia Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) imesitisha pambano la kimataifa kati ya Mtanzania, Hassan Mwakinyo dhidi ya Mghana, Patrick Allotey kufuatia promota...
KMKM yaishusha rasmi daraja Maendeleo Zenji WATETEZI wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), KMKM wameishusha rasmi Maendeleo baada ya jana kuifumua mabao 7-0 katika mechi ya ligi hiyo iliyopigwa kwenye Uwanja wa Mao A, mjini Unguja.
Ligi Kuu Zenji sasa ni mwendo wa hat trick tu! LIGI Kuu ya Zanzibar (ZPL) inazidi kuyoyoma, huku ikishuhudiwa idadi ya hat trick zikiongezeka baada ya jana Jumapili kupigwa nyingine mbili na kufanya idadi sasa ifikie sita wakati timu za...
Yanga yaichapa Ihefu, yaifuata Azam fainali Kombe la Shirikisho (FA) YANGA imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu FC katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini hapa na kutinga fainali.
Tatizo Prisons hili hapa, Mashujaa kazi ipo Prisons ikicheza nyumbani juzi ilifikisha mchezo wa nane mfululizo bila kushinda ikiwa ni kupoteza miwili dhidi ya Ihefu na Mtibwa Sugar na sare sita na kuwa nafasi ya tano kwa alama 33.