Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1641 results for Daudi Elibahati :

  1. Singida Black Stars itaipindua Azam FC?

    SINGIDA Black Stars, leo huenda ikasogea hadi nafasi ya tatu katika msimamo wa Ligi Kuu Bara na kuishusha Azam FC, ikiwa itashinda dhidi ya Coastal Union, huku wapinzani wake wakipoteza au kutoka...

    SINGIDA Pict
  2. Kinachoitesa Dodoma Jiji misimu mitano Ligi Kuu

    KUFIKISHA pointi 44 kwenye Ligi Kuu Bara, imekuwa changamoto kubwa sana kwa Dodoma Jiji ambayo huu ni msimu wake wa tano inashiriki ligi hiyo.

  3. Rupia afunga bao la 10, aizamisha Azam FC

    Bao la dakika ya 75 la Mkenya Elvis Rupia, limetosha kuipa pointi tatu muhimu Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya matajiri wa Jiji la Dar es Salaam Azam FC, uliopigwa...

    RUPIA Pict
  4. Rekodi hizi zinasubiriwa Championship 2024/25

    WAKATI Ligi ya Championship ikibakisha raundi tano kwa kila timu, ushindani umekuwa mkubwa kuanzia kwa zinazowania kupanda Ligi Kuu Bara, kushuka daraja na nyingine zinazopigania kuhakikisha...

    REKODI Pict
  5. Mkenya Fountain Gate hali tete

    HALI ni mbaya kwa Kocha Mkuu wa Fountain Gate, Mkenya Roberto Matano baada ya juzi kupoteza kwa mabao 3-0, dhidi ya Mashujaa FC kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, mkoani Kigoma, ikiwa ni kichapo...

    MATANO Pict
  6. PRIME Ubingwa Ligi Kuu bado mgumu, mtego upo hapa!

    BAADA ya Yanga kupata ushindi wa mabao 3-0, dhidi ya Tabora United hivi karibuni, hakika mechi saba zilizobaki kwa Simba na Yanga zimewekewa mtego wa ubingwa wa Ligi Kuu Bara 2024/2025.

    UBINGW Pict
  7. Chama la Wana vita bado inaendelea

    LICHA ya Stand United 'Chama la Wana', kuchapwa mabao 2-0 na Mbeya City Machi 30, 2025, kocha wa timu hiyo, Juma Masoud amesema kichapo hicho kwao hakijawatoa katika mbio za kuwania tiketi ya...

    Stand Pict
  8. Yanga yaipiga Tabora United, Dube, Mzize wamkaribia Ahoua

    KISASI ni haki! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United, katika mchezo uliopigwa leo kwenye Uwanja wa...

  9. Championship kumenoga, kuna vita nzito

    VITA ni nzito! Ndivyo unavyoweza kusema kuhusu Ligi ya Championship baada ya kubakisha michezo mitano tu kwa kila timu kuhitimisha msimu huu, huku vita kubwa ikitanda maeneo yote, hususani ile ya...

  10. CEO Mbeya City atuliza presha

    OFISA Mtendaji Mkuu wa Mbeya City (CEO), Ally Nnunduma amesema licha ya kuondoka kwa aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Salum Mayanga aliyejiunga na Mashujaa FC, ila mashabiki wa kikosi hicho...

    CEO Pict
Previous

Page 10 of 165

Next