Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1175 results for Charles Abel :

  1. AKILI ZA KIJIWENI: Dube ametuunganisha tuliobishana

    SIKU za mwanzoni za Prince Dube ndani ya Yanga, kijiweni hapa na katika mitaa mingi tuligawanyika sana kuhusu mshambuliaji huyo kutoka Zimbabwe.

  2. Karia aula CAF, Motsepe minne tena urais

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameibuka mshindi wa kiti cha ujumbe wa kamati ya utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf) katika uchaguzi mkuu wa...

  3. Mastaa Azam wafyekwa bonasi, wapewa saba za kujitathimini

    KUTOLEWA katika Kombe la Shirikisho hatua ya 32 ikiwa ni mara ya kwanza kwa Azam FC, huku ikiwa na nafasi finyu ya kubeba taji la Ligi Kuu msimu huu, kumewafanya mabosi wa klabu hiyo kuitisha...

  4. Simba rasmi yagomea Kariakoo Derby huku ikitaja kanuni

    Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga, Jumamosi, Machi 08, 2025 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam limechukua sura mpya kufuatia uongozi...

  5. AKILI ZA KIJIWENI: Ombea bahati ya Morrison utoboe

    BAHATI ni kitu cha msingi sana hapa duniani na hasa unapokuwa na bahati kama ya mtu anayeitwa Bernard Morrison, winga wa mpira ambaye usajili wake kwa sasa unasoma ni mchezaji wa KenGold.

    BM3 Pict
  6. AKILI ZA KIJIWENI: Dabi ya Kariakoo iheshimiwe jamani

    KESHOKUTWA mida ya saa 1:15 usiku kitaanza kuwaka pale kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa mechi moja tamu sana ya watani wa jadi, Yanga na Simba, zinapokutana kwenye mzunguko wa pili wa Ligi Kuu...

    DABI Pict
  7. AKILI ZA KIJIWENI: Samatta anachanga karata vyema

    KAPTENI Mbwana Samatta alitupa unyonge sana mwanzoni mwa msimu huu kutokana na kutopata nafasi ya kutosha ya kucheza katika kikosi cha PAOK ya Ugiriki akionekana kutokuwa chaguo la benchi lao la...

    Samatta Pict
  8. Arajiga kiboko ya Dabi, wasifu umenyooka

    WAHENGA walisema ‘chanda chema huvikwa pete’, msemo ambao umejidhihirisha kufuatia uteuzi wa refa Ahmed Arajiga kutoka Manyara kuchezesha mechi ya Yanga na Simba, Jumamosi hii kwenye Uwanja wa...

  9. Bosi mpya Arsenal ana ushawishi wa kutosha

    Mkurugenzi wa zamani wa michezo wa Atletico Madrid, Andrea Berta (53) anatajwa kuwa nafasi nzuri ya kuchukua nafasi ya mkurugenzi wa michezo wa Arsenal ya England.

  10. Aziz KI ana kitu cha kufanya Dabi ya Kariakoo

    Kiungo wa Yanga, Stephane Aziz Ki ametoa ahadi ya kumpa zawadi, waziri wa madini na mjumbe wa baraza la wadhamini la klabu hiyo, Anthony Mavunde katika siku ya mchezo wao dhidi ya Simba kwenye...

Previous

Page 10 of 118

Next