First eleven mpya ya Simba na Yanga >MZUNGUKO wa pili wa Ligi Kuu Bara unaelekea ukingoni huku kukiwa na ushindani mkubwa kuwania nafasi tatu za juu baina ya timu za Azam, Yanga, Mbeya City na Simba.
Rekodi zaiponza Yanga Morogoro >LIGI Kuu Bara inaendelea leo Jumamosi kwa mechi tatu kuchezwa kwenye viwanja vitatu tofauti. Mabingwa watetezi Yanga wataumana na Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro wakati...
Yanga wanaume wa shoka >YANGA imeondolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika lakini imepigana kiume na kudhihirisha kwamba ni Wanaume wa shoka. Mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara walikomaa na kuonyesha soka...
TASWIRA: Ni muda mzuri wa kuwauza Domayo, Messi MABINGWA wa soka wa Tanzania, Yanga kesho Jumapili watakuwa na kazi moja kubwa ya kulinda ushindi wao kwa kuhakikisha Al Ahly hawapati nafasi ya kucheza kama wanavyotaka.
Mrembo Mkenya anayetetemesha Hollywood HOLLYWOOD ni maskani ya wanawake warembo na wenye vipaji. Kiwanda namba moja cha filamu duniani, ambapo wanawake na mabinti wazuri waigizaji wamekuwa wakiibukia kila kukicha.
Lupita Nyong'o: Alichati na Ferguson kabla ya kutwaa tuzo LOS ANGELES, MAREKANI ULIKUWA usiku wa machozi ya furaha kwa washiriki na wahusika wa filamu ya ‘12 Years A Slave’, wakati filamu hiyo iliponyakua tuzo ya Oscar ya Filamu Bora juzi Jumapili...
Yanga: Al Ahly mkiingia tunawachinja >WIKIENDI hii zinachezwa mechi 16 za raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Lakini macho ya Afrika nzima yapo Dar es Salaam ambapo mabingwa watetezi wa mashindano hayo, Al Ahly, itacheza...
Yanga yamtuma kocha Mkwasa Misri >YANGA imemtuma kocha wake msaidizi, Boniface Mkwasa nchini Misri kuangalia mechi baina ya Al Ahly na Safaxien ya Tunisia kwenye mechi maalum ya Super Cup itakayochezwa kesho kutwa Alhamisi...
Yanga yawaacha Kaseja, Okwi safari ya Comoro JESHI la wachezaji 19 la kikosi cha Yanga linaondoka leo Alhamisi alfajiri kuifuata Komorozine ya Comoro, lakini kocha mkuu wa timu hiyo, Hans Van Pluijm amewatema nyota kumi kwenye msafara wake...
Yanga yaitungua Mbeya City, Azam yafanya kufuru TANGU kuanza kwa Ligi Kuu Bara msimu wa 2013/14 kuna wanaume wawili tu waliokuwa hawajapoteza mechi yoyote kwenye Ligi.