Mashabiki Spurs waandamana MASHABIKI wa Tottenham waliandamana katika mitaa mbalimbali na nje ya uwanja wao wa Tottenham Hotspur Stadium wakimtaka mwenyekiti wao Daniel Levy kuachana na timu hiyo.
PRIME PUMZI YA MOTO: Tuhuma za Tabora United zitaachwa zipite? KWA mara nyingine tena mpira wa Tanzania umekumbwa na matukio yenye kuashiria ushawishi wa rushwa na upangaji matokeo.
HAINA KUFELI: Soka limeokoa maisha ya mastaa hawa SOKA ni moja ya michezo inayolipa sana. Wanasoka wengi wamebadilisha maisha yao kutokana na mchezo huu. Wapo waliotokea katika maisha tofauti na wanatengeneza pesa kutokana na soka.
Arsenal kufanya mabadiliko makubwa ARSENAL wametajwa kuwa na mpango wa kufanya maboresho makubwa katika kikosi chao kwa kusajili wachezaji wanne katika dirisha la uhamisho la majira ya kiangazi mwaka huu.
Slot afichua siri ya Mohamed Salah KOCHA wa Liverpool, Arne Slot, amefichua siri ya kinachosababisha ukame wa mabao wa staa wake, Mohamed Salah katika kipindi cha hivi karibuni.
Amorim amng'ata sikio bosi Man United KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amemtaka mkurugenzi wa ufundi wa timu hiyo, Jason Wilcox kushirikiana naye vilivyo na kuwa makini katika dirisha lijalo la usajili ili kufanikisha mpango...
Barcelona yaanza kujipanga kwa Luis Diaz BARCELONA inafikiria kufanya mabadilishano ya wachezaji na Liverpool na imepanga iwape beki wa kati wa Uruguay, Ronald Araujo, mwenye umri wa miaka 26, ili kumpata winga wa majogoo hao na timu ya...
Mbappe, Bellingham tumbo joto La Liga MASTAA wa Real Madrid, Kylian Mbappe na Jude Bellingham, walikiri kuwa hawakuwa bora vya kutosha katika kipigo cha kushangaza nyumbani kwao dhidi ya Valencia Jumamosi na wanajipanga wao kama...
Pep Guardiola afunguka ishu ya De Bruyne PEP GUARDIOLA amethibitisha ilikuwa ni uamuzi wake kumaliza safari ya kiungo wa klabu hiyo na Ubelgiji, Kevin De Bruyne.
De Bruyne anaondoka Man City na mihela yake TAARIFA iliyopo ni nyota wa Manchester City na timu ya taifa ya Ubelgiji, Kevin de Bruyne ataondoka katika kikosi hicho mwisho wa msimu huu, baada ya kukitumikia kwa takribani miaka 10.