Namba katikati ya bato la Arsenal, PSG PSG ndiyo mabingwa wa Ulaya kwa msimu wa pili mfululizo, wakichukua mara hii mbele ya mabingwa wa Ligi Kuu England, Arsenal.
Kisa Arsenal, Ferguson aitumia meseji PSG KOCHA wa zamani wa Manchester United, Sir Alex Ferguson, amewatumia ujumbe mabosi wa PSG akiwaambia kuwa timu yao ilistahili kutwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Arsenal.
James Milner akubali yaishe, ajiweka pembeni James Milner, kiungo wa Brighton, Liverpool na Manchester City, amethibitisha kustaafu soka rasmi akiwa na umri wa miaka 40, akiwa ametumika kwenye Ligi Kuu England kwa misimu 24.
Maguire atolewa kwa Inter, yenyewe inamtaka Solet Beki wa Manchester United, Harry Maguire, ameibuka katika rada za Inter Milan dirisha la usajili la majira ya kiangazi, ingawa pia kipaumbele kikubwa kwa miamba hiyo ya Italia ni Oumar Solet...
FIFA yaja na kanuni mpya Kombe la Dunia 2026 SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA), limeamua kuzuia wachezaji kwenda kwenye eneo la kiufundi kuzungumza na makocha wao wakati mlinda mlango akitibiwa majeraha katika michuano ya Kombe la...
Ushauri kwa Arteta, mabosi Arsenal! Mabadiliko ambayo Arsenal wanapaswa kufanya ili kupiga hatua Inayofuata baada ya kushindwa katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Slot afunguka mazito baada ya kufutwa kazi Liverpool KOCHA wa zamani wa Liverpool, Arne Slot amesema anaondoka katika klabu hiyo ukiwa ni muda sahihi kwake.
Canada kusaka ushindi wa kwanza Kombe la Dunia NYOTA wa Bayern Munich, Alphonso Davies amejumuishwa katika kikosi cha mwisho cha wachezaji 26 wa timu ya taifa ya Canada kitakachoshiriki Kombe la Dunia 2026, licha ya kuwa bado anaendelea...