Barca yamweka Raphinha sokoni BARCELONA iko tayari kumuuza Raphinha dirisha la usajili la majira ya kiangazi ikiwa itapokea ofa ya Euro 80 milioni, taarifa zinaeleza kutoka Hispania.
Rashford ni Man United tu MCHEZAJI wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney amesisitiza kuwa Marcus Rashford bado anahitaji kurudi na kuichezea Manchester United licha ya kuendelea kung'ara akiwa kwa mkopo na Aston...
Maresca ajiondoa kwa Palmer KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amesema hahusiki na kushuka kwa kiwango cha staa wa timu hiyo, Cole Palmer na amesisitiza huenda ana presha.
Kuhusu Cunha, Amorim kasema haweki neno KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amekataa kutoa maoni kuhusu tetesi zinazoihusisha timu hiyo na nyota wa Wolves, Matheus Cunha, anayedaiwa anaweza kusajiliwa dirisha lijalo.
Mudryk afaulu mtihani wa uongo INAELEZWA staa wa Chelsea, Mykhailo Mudryk amefaulu mtihani wa kifaa cha kubaini kama anasema uongo au laa, ikiwa ni katika juhudi za kukusanya ushahidi na kusafisha jina lake dhidi ya tuhuma za...
Ruvu Shooting ipo kama haipo MATOKEO ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Stand United yameiweka pabaya zaidi Ruvu Shooting na sasa huenda msimu ujao ikaaga Championship, huku benchi la ufundi likikiri ugumu.
Mwinzani: Mtashangaa NCBA, Lugalo Open CHIPUKIZI wa mchezo wa gofu, Julius Mwinzani wa klabu ya Dar es Salaam Gymkhana, anasema atakuja kuwashangaza wengi katika mashindano ya mchezo huo ya NCBA, Lugalo Open na Lina Tour kwa jinsi...
Startimes kuendelea kuunga mkono Ligi ya Championship Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa masoko na maudhui kutoka Startimes David Malisa kwenye uzinduzi wa kampeni mpya ya zote ndani.
Uchaguzi Yanga wanachama mapema tu, Mwigulu atinga WANACHAMA wa klabu ya Yanga wamejitokeza kwa wingi kuandika historia nyingine ya viongozi wapya watakaoiongoza timu hiyo baada ya mabadiliko ya kiuendeshaji.
Samatta mbioni kurudi England RIPOTI kutoka Ubelgiji zinamhusisha mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania na nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta ‘Samagoal’ kutua Cardiff City ya Ligi Daraja la Kwanza England ‘Championship’.