Singida vs Simba; tuwafunge ngapi leo? NI zamu ya mashabiki 10,000 na ushee wa Mkoa wa Singida kushuhudia live boli likitembea kwenye mechi dhidi ya Singida na Simba. Mashabiki wa Simba jana walikuwa wakiwatambia wenyeji nje ya Uwanja...
Onyango ashangaza wenzake, akacha gari, atembea kwa miguu mtaani BEKI wa kati Simba, Mkenya Joash Onyango ameduwaza wenzie mazoezini huku ikielezwa kuwa anachofanya ndicho kilichomrejesha kwenye ubora wake na kutetea namba yake. Staa huyo anayewania namba na...
Phiri, Chama wateka shoo Simba KIKOSI cha Simba tangu majuzi kinafanya mazoezini asubuhi baada ya Kocha, Juma Mgunda kuwabadilishia ratiba mastaa wake, huku Moses Phiri, Clatous Chama na Augustine Okrah waking’ara zaidi ya...
Okwa aichambua Yanga KIKOSI cha Yanga kiliochopo nchini Tunisia kwa pambano la marudiano la mtoano wa kuwania kuingia makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji wao, Club Africain, lakini kiungo...
Simba ya Mgunda...Mwendo wa dozi tu MASTAA wa Simba tayari wapo kambini baada ya kupewa mapumziko mafupi mara walipoinyoosha Mtibwa Sugar kwa mabao 5-0, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Juma Mgunda akibadilisha ratiba ya mazoezi...
Yanga, Africain dakika 52 tu YANGA na Club Africain ya Tunisia juzi Jumatano zilishindwa kutambiana na kutoka suluhu, huku pambano hilo la kwanza la mtoano (play-off) Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika likipigwa kwa muda...
Kwa Medo ni suala la muda KOCHA wa Dodoma Jiji, Mellis Medo amesema wakati anachukua mikoba ya kufundisha timu hiyo alikuwa kwenye wakati mgumu kutokana na kukosa muda wa kufanya mazoezi kwa utulivu...
Okwa aanika kila kitu Simba SIMBA ipo kambini ikiendelea kujifua kwa ajili ya mechi yao ijayo dhidi ya Singida Big Stars, huku mshambuliaji wa timu hiyo, Mnigeria Nelson Okwa akifunguka juu ya kutoonekana uwanjani na...
Nabi: Tutamaliza mechi nyumbani YANGA leo itakuwa uwanja wa Mkapa kuwakabili Watunisia katika mechi ya mtoano kuwania kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini kocha Nasreddine Nabi amesema ana kazi kubwa...
SIMBA YA MAKUNDI CAF: Rekodi, jina vyawabeba SIMBA inasubiri Shirikisho la Soka Afrika (CAF) lipange droo ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika itakayofanyika Novemba ili kujua itaangukia kwenye kundi gani na wapinzani wake watatu watakuwa...