PRIME Kila bao, Mpanzu anampa kocha laki ELLIE Mpanzu amewafunga mdomo wale wote waliokuwa wakimpopoa wakati alipoanza kuitumikia Simba iliyomsajili kupitia dirisha dogo, huku mabao aliyoanza kuyafunga akiwa na kikosi hicho yameanza...
Zile 10 za Chikola zapata ugumu NYOTA wa Tabora United, Offen Chikola amekiri ameanza kupata shaka ya kutimiza ndoto zake za kufunga mabao 10 msimu huu ili kuweka rekodi binafsi katika Ligi Kuu Bara iliyopo ukingoni.
Kocha JKT Tanzania apiga hesabu kali MAAFANDE wa JKT Tanzania, wapo katika nafasi ya saba kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara wakikusanya pointi 32 kupitia mechi 25, huku kocha wa timu hiyo, Ahmad Ally akipiga hesabu kali kwa mechi za...
Juma Abdul ataja 'Top 5' ya mastraika hatari BEKI wa zamani wa Mtibwa Sugar, Yanga na Singida Big Stars, Juma Abdul ameitaja 5-Bora ya washambuliaji aliowashudia ubora wao kwa namna walivyokuwa wanawaliza mabeki waliokuwa wanaidharau mipira...
Ukitaka kucheza nje muulize Adam Salamba WAHENGA wanasema penye nia pana njia. Ukitaka kuamini msemo huo unafanya kazi ni namna anavyosimulia mshambuliaji wa zamani wa Simba, Adam Salamba ambaye msimu huu alicheza Ligi Kuu Libya.
PRIME Kapombe, Zimbwe JR wabebeshwa msalaba Simba BAADA ya kuizamisha Mbeya City katika mechi ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho la ndani, Simba kwa sasa inaingia kwenye maandalizi ya kuikabili Stellenbosch ya Afrika Kusini katika nusu...
Kichuya azitaja mechi tano za moto bara WINGA wa JKT Tanzania, Shiza Kichuya amesema katika mechi tano zilizosalia kumaliza msimu huu anaziona ni za jasho na damu kutokana na kila timu kuwa na hesabu kali na ugumu hazichagui uwanja wa...
Banka aukubali mziki wa Kagoma KIUNGO wa zamani wa Simba na Yanga, Mohammed Banka amesema anakoshwa na uchezaji wa kiungo mkabaji wa Simba, Yusuf Kagoma anayekaba mtu na mtu jambo ambalo ni gumu kwa wapinzani kupenya eneo...
Beki JKT Tanzania afichua siri BEKI wa JKT Tanzania, Wilson Nangu anavutiwa na aina ya ukabaji wa beki wa Simba, Abdulrazak Hamza na Dickson Job wa Yanga.
Prisons yakumbushia msimu wa 2014/15 KITENDO cha Tanzania Prisons kushinda bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar, kimewapa morali na nguvu wachezaji wa timu hiyo kuanza hesabu kali za namna ya kupambana wasishuke daraja.