Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1638 results for Daudi Elibahati :

  1. Vita ya Ligi Bara yahamia Shirikisho

    LIGI Kuu Bara imesimama kwa muda, lakini hiyo haina maana uhondo wa soka haupo kwani leo kwenye viwanja viwili tofauti, kuna vita nzito ya timu za ligi hizo zitakazoonyeshana kazi katika mechi za...

    SHIRIKISHO Pict
  2. Simba yatinga nusu fainali Kombe la FA

    SIKU chache tu, tangu ilipoweka historia kwa kutinga nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba imekuwa klabu ya kwanza msimu huu kufuzu nusu fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho...

    FA Pict
  3. Mzenji arithi mikoba ya Matata Transit Camp

    UONGOZI wa Transit Camp umefikia makubaliano na aliyekuwa Kocha wa Kipanga FC ya visiwani Zanzibar, Ramadhan Ahmada Idd, kukiongoza kikosi hicho kwa michezo iliyosalia, akichukua nafasi ya...

    MZENJI Pict
  4. TMA hesabu kali pointi 12 Championship

    KOCHA Mkuu wa TMA FC, Mohamed Ismail 'Laizer', amesema mkakati uliopo kwa sasa ni kupata pointi 12, katika michezo minne iliyobaki kumalizia msimu huu, licha ya kukiri changamoto kubwa itakuwa ni...

    TMA Pict
  5. Mbeya City yampa mzuka kocha Madenge

    KOCHA wa Biashara United, Omary Madenge amesema sare ya bao 1-1, iliyoipata kikosi hicho Aprili 9, dhidi ya Mbeya City kwenye Uwanja wa Karume Mara, imewaongezea morali ya kupambana ili kuinusuru...

    MBEYA Pict
  6. Simba, Mbeya City kukumbushia 2023

    KIKOSI cha Simba kinashuka katika Uwanja wa KMC Complex jijini Dar es Salaam kusaka tiketi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya Mbeya City inayoshiriki Ligi ya Championship mechi...

  7. Championship vita inaendelea kupamba moto

    RAUNDI ya 26 ya Ligi ya Championship, inaendelea tena wikiendi hii ambapo baada ya jana kuchezwa mechi tatu, leo zitapigwa mbili kwenye viwanja mbalimbali kwa kila timu kutafuta pointi tatu...

    CHAMPIONSHIP
  8. Singida Black Stars itaipindua Azam FC?

    SINGIDA Black Stars, leo huenda ikasogea hadi nafasi ya tatu katika msimamo wa Ligi Kuu Bara na kuishusha Azam FC, ikiwa itashinda dhidi ya Coastal Union, huku wapinzani wake wakipoteza au kutoka...

    SINGIDA Pict
  9. Kinachoitesa Dodoma Jiji misimu mitano Ligi Kuu

    KUFIKISHA pointi 44 kwenye Ligi Kuu Bara, imekuwa changamoto kubwa sana kwa Dodoma Jiji ambayo huu ni msimu wake wa tano inashiriki ligi hiyo.

  10. Rupia afunga bao la 10, aizamisha Azam FC

    Bao la dakika ya 75 la Mkenya Elvis Rupia, limetosha kuipa pointi tatu muhimu Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya matajiri wa Jiji la Dar es Salaam Azam FC, uliopigwa...

    RUPIA Pict
Previous

Page 9 of 164

Next