Bigman hawataki unyonge Championship KOCHA wa Bigman, Salhina Mjengwa amesema hawajapoteza matumaini kwenye Ligi ya Championship licha ya kuambulia pointi moja katika michezo miwili akiahidi kutafuta suluhu kwenye uwanja wa mazoezi...
Vigogo MZFA wakaliwa kooni, waitupia TFF msala BAADHI ya wadau wa soka jijini hapa wamemtaka Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Mwanza (MZFA), Vedastus Lufano kujiuzulu nafasi hiyo, huku wakiliomba Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...
Bilo ataka Pamba ipewe mechi saba Bara KOCHA wa zamani wa Stand United na Gwambina, Athuman Bilal ‘Bilo’ amesema matokeo inayoyapata Pamba Jiji ni kutokana na ugumu na ushindani mkali uliopo Ligi Kuu msimu huu huku akiwataka mashabiki...
Pamba yavunja mkataba wa Mkanwa Biashara United SAA chache baada ya Biashara United ya Mara kutangaza kuvunja mkataba na kocha mkuu, Henry Mkanwa, imebainika kuwa chanzo cha sakata hilo ni kutakiwa na Pamba Jiji ya Mwanza.
Kennedy aukubali mziki Singida Black Stars NAHODHA wa Singida Black Stars, Kenedy Juma amesema licha ya ugumu na ushindani uliopo katika Ligi Kuu Bara lakini wamepambana na kuongoza ligi ikiwemo ushindi katika mechi tatu za ugenini, huku...
Geita Gold yampa mzuka Josiah PAZIA la Ligi ya Championship msimu wa 2024/2025 linafunguliwa kesho huku wageni wa michuano hiyo, Geita Gold wakianzia nyumbani Nyankumbu dhidi ya TMA ya Arusha saa 8:00 mchana, huku Kocha Mkuu...
Kopunovic aanza kujistukia Pamba WAKATI presha ya kutopata ushindi kwenye Ligi Kuu Bara ikizidi kuiandama Pamba Jiji, Kocha Mkuu, Goran Kopunovic amekiri huenda mbinu zake ndiyo tatizo huku akigoma kumtupia lawama yeyote na...
Kiluvya yamchorea ramani Mingange KOCHA Mkuu wa Stand United, ‘Chama la Wana’, Meja Mstaafu Abdul Mingange amesema mchezo wa kwanza ugenini dhidi ya Kiluvya United utampa ramani ya kikosi chake na uelekeo katika Ligi ya...
Maguri, Makapu kuliamsha upya Biashara United NYOTA wa zamani wa Simba na Yanga, Elias Maguri na Said Juma ‘Makapu’ ni miongoni mwa wachezaji wapya walioongeza mzuka ndani ya kikosi cha Biashara United kilichopo Ligi ya Championship...
Mkenya awatoa hofu Pamba, aahidi pointi 3 Azam LICHA ya kutopata ushindi kwenye mechi tano na kufunga mabao mawili pekee, Nahodha wa Pamba Jiji, Christopher Oruchumu amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo akisisitiza ni kipindi cha mpito na...