Ancelotti, Real Madrid siku zinahesabika, asubiriwa Brazil Vyanzo vinasema kuwa kocha huyo anatakiwa na timu ya Taifa ya Brazil na ataanza kazi yake mwishoni mwa msimu huu akiwa anatakiwa kuhakikisha timu hiyo inafanya vizuri kwenye fainali zijazo za...
MZEE WA FACT: Harufu ya 1992 kwenye dabi ya 2025 Lakini hata hivyo hadi sasa hakuna uhakika wa kuwepo kwa mechi hiyo iliyokwama kufanyika Machi 8, 2025.
Simba kuzoa mabilioni fainali Shirikisho Afrika Simba imeandika rekodi ya kuwa timu ya kwanza ya Tanzania kutinga mara nyingi fainali za mashindano ya klabu Afrika baada ya jana, Aprili 28 kufuzu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya...
VINICIUS JR: Jeuri ya pesa sababu kuwakataa Waarabu BAADA ya tetesi za muda mrefu kuhusu kwenda Saudi Arabia, hivi karibuni ilitoka taarifa winga wa Real Madrid, Vinicius Jr hana mpango wa kuondoka na tayari ameshafanya makubaliano na timu yake...
Martha Mwaipaja, Angel Magoti kazi ipo JUMLA ya kazi 529 za wasanii wa muziki wa Injili zimepokewa na Waandaaji wa Tuzo za Muziki wa Injili nchini (TGMA), ili kuanza mchakato wa kupata wakali watakaotunukiwa heshima siku ya hafla ya...
Sura mpya zinaitaka Man United KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amefichua kuna kundi kubwa la wachezaji bora ambao wako tayari kujiunga nao licha ya timu yao kutofanya vizuri kwenye Ligi Kuu England msimu huu.
Harry Kane mkosi tena MSHAMBULIAJI wa Bayern Munich, Harry Kane anakaribia kumaliza msimu akiwa na kombe lakini huenda asiwe uwanjani siku ambayo timu yake itapata taji.
Kipigo hakijamshtua Enrique kuwavaa Arsenal LICHA ya kupoteza kwa mara ya kwanza wiki iliyopita tangu kuanza kwa msimu huu, kocha wa Paris Saint-Germain, Luis Enrique, amesisitiza kwamba hajali kabisa kuhusu matokeo hayo na anaona hayana...
Liverpool yabeba ubingwa EPL ikiisulubu Totenham Imeisha hiyo. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Liverpool kuibamiza Totenham Hotspur kwa mabao 5-1 katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Anfield na kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England (EPL).
Barcelona waanza kumnyatia Julian Alvarez BARCELONA wanapanga kufanya usajili wa mshambuliaji wa Atletico Madrid na timu ya taifa ya Argentina, Julian Alvarez, 25, katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ikiwa ni katika harakati zao...