Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

685 results for Victoria Melkiad :

  1. PRIME Fadlu mkeka umetiki, Orlando yamvutia kasi

    UNAWEZA kusema ni kama mkeka wa Fadlu Davids umetiki kwani ubora aliouonesha hadi sasa ndani ya Simba, umewafanya Wasauzi wenzake, Orlando Pirates kuanza hesabu za kumrudisha kikosini kwao.

  2. Watano wasimamishwa KenGold

    TAARIFA zinabainisha kuwa, siku chache baada ya KenGold kushuka daraja, imewasimamisha baadhi ya wachezaji wa kikosi hicho na kocha wao wa viungo ikidaiwa ni kutokana na sababu za kinidhamu.

  3. PRIME Vita ya ufungaji kocha Hamdi atoa maagizo kwa Dube, Mzize

    Mambo yanaendelea kuwa mambo katika Ligi Kuu Bara, kwani vita zinazidi kuongezeka katika kila eneo kuanzia ile ya ubingwa, kuwania kufuzu mashindano ya kimataifa msimu ujao na ile ya kushuka...

  4. Kikao cha Taoussi, Blanco chaanza kujibu

    KOCHA wa Azam FC, Rachid Taoussi, amefichua kwamba kikao alichofanya na mshambuliaji Jhonier Blanco juu ya kutathimini kiwango chake kisha kuanza kufanya mazoezi binafsi, kimeanza kuleta...

    BLANCO Pict
  5. PRIME Ripoti Hamdi yashusha wanne Yanga

    MIKAKATI ya kukiimarisha kikosi cha Yanga kwa ajili ya msimu ujao, imeanza mapema kwa kocha wa timu hiyo, Hamdi Miloud kuwasilisha ripoti ya usajili ambayo ameainisha nyota wanne anaowataka.

  6. Fei Toto aipa pigo Azam FC

    KIKOSI cha Azam kipo Bukoba kwa ajili ya mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar, lakini kikiwa na pigo baada ya kiungo mshambuliaji nyota, Feisal Salum ‘Fei Toto’ kutokuwepo kutokana na...

    FEI Pict
  7. PRIME Yao Kouassi atulizwa Yanga, kocha ahusika

    YANGA ipo safarini kuifuata Fountain Gate kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara inayopigwa Jumatatu, huku taarifa mbaya kwa mashabiki ni kwamba huenda wasimuone tena uwanjani beki wa kulia, Yao Kouassi...

    YAO Pict
  8. PRIME Kocha Yanga amhakikisha Chama maisha

    KOCHA wa Yanga, Miloud Hamdi avunja ukimya kuhusu kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Clatous Chama akisema kwa sasa gari ndo limewaka na wala hana presha ya kuchagua nani wa kuanza kikosini.

    CHAMA Pict
  9. PRIME Fei Toto anyemelea ufalme mpya Bara

    KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto, ndiye anayeongoza orodha ya wakali wa asisti katika Ligi Kuu Bara msimu huu hadi sasa akiwa nazo 13, lakini akikabiliwa na kazi mbili nzito...

  10. Pamba Jiji yaziendea msituni pointi sita

    PAMBA Jiji imekubaliana na kipigo ilichokipata katika robo fainali ya Kombe la Shirikisho (FA), lakini imesema haitakubali kuona inashindwa kupata pointi sita katika mechi mbili zijazo katika...

    PAMBA Pict
Previous

Page 8 of 69

Next