KenGold yaanza na wanne dirisha dogo WAKATI KenGold ikianza kusuka kikosi chake kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo, timu hiyo inakabiliwa na ratiba ngumu katika michezo mitano kupambania nafasi ya kubaki Ligi Kuu.
Namungo yaiduwaza KenGold LICHA ya kutangulia kwa mabao mawili ndani ya dakika 10 za pambano la Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo, timu ya KenGold imejikuta ikiduwazwa na wageni na kupoteza mchezo huo ikiwa nyumbani kwenye...
Mbeya City yanogewa na ushindi BAADA ya ushindi mnono ilioupata Mbeya City wa mabao 4-0 juzi dhidi ya Polisi Tanzania, kocha msaidizi wa kikosi hicho, Juma Bukoli amesema kwa sasa nguvu zao kubwa wanazielekeza katika mchezo...
Polisi Tanzania yapiga mkwara mzito KICHAPO cha mabao 4-0 ilichopata Maafande wa Polisi Tanzania dhidi ya Mbeya City juzi, kimeonekana kumchanganya kocha wa timu hiyo, Bernard Fabian ambaye ameweka wazi michezo mitatu ijayo ya...
Mbeya yaingilia kati Prisons na Ken Gold WAKATI Tanzania Prisons na Ken Gold zikiendelea kuchechemea kwenye Ligi Kuu, chama cha soka mkoani Mbeya (Mrefa) kimezitaka timu hizo kutekeleza ushauri wa kamati ya mashindano ili kukwepa aibu...
Ken Gold inatia huruma, yatolewa Shirikisho Ken Gold imekuwa timu ya kwanza Ligi Kuu Bara kutolewa kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho baada ya kufungwa penalti 4-3 na Mambali Ushirikiano kufuatia dakika 90 zilizomalizika kwa sare ya...
Nyota Coastal afichua siri yake na makocha STRAIKA wa Coastal Union, Maabad Maulid amekiri kuanza kwa ugumu Ligi Kuu Bara msimu huu, huku akifichua siri ya kuaminiwa na makocha wanaotua kikosini humo na kutoa matumaini kwa mashabiki.
Kigogo Biashara Utd ang'aka timu kuuzwa WAKATI taarifa zikisambaa kuwa Biashara United ipo sokoni, uongozi wa timu hiyo umekanusha, ukieleza kuwa wanachotafuta ni mdau atakayeweza kuongeza nguvu tu.
KenGold: Kushuka daraja? Nyie subirini tu PAMOJA na kukiri matokeo kutokuwa mazuri, Kocha Mkuu wa KenGold, Omary Kapilima amesema bado ni mapema kuitabiria timu hiyo kushuka daraja badala yake wasubiri muda utaamua.
KenGold yawang'ang'ania Wagosi Sokoine Bao la kusawazisha dakika ya 90 limeiokoa Ken Gold kupoteza mchezo nyumbani dhidi ya Coastal Union na kufanikiwa kubaki na pointi moja katika Uwanja wa Sokoine jijini hapa.