Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1576 results for Olipa Assa :

  1. Mkude apata watetezi Yanga

    WAKATI mashabiki wakijiuliza kitu gani kimemkuta kiungo mkabaji mzoefu wa Yanga, Jonas Mkude aliyewahi kuwika kwa karibu miaka 10 mfululizo akiwa na Simba, wachezaji wakongwe waliowahi kukipiga...

  2. Straika KMC amtaja Mukwala

    MSHAMBULIAJI wa KMC, Daruweshi Saliboko amesema anaupenda aina ya uchezaji wa straika wa Simba, Steven Mukwala kutokana na kasi yake, mzuri wa kuunganisha pasi hadi kufunga.

  3. Chanongo aziwaza dakika 270

    KIUNGO wa Tanzania Prisons, Haruna Chanongo amesema wana dakika 270 ngumu za maamuzi ya timu hiyo kusalia Ligi Kuu au la, kutokana na kile ambacho watakivuna katika mechi tatu zilizosalia.

  4. DAKIKA ZA JIOOONI: Mashujaa ina mitihani mitatu

    KUNA mitihani mitatu inamkabili kocha wa zamani wa Taifa Stars, Salum Mayanga katika kikosi cha Mashujaa chenye maskani yake mkoani Kigoma.

    DAKIKA Pict
  5. PRIME Hamza afichua siri Zanzibar, Kibu atajwa

    KIKOSI cha Simba kinashuka uwanjani kesho Jumapili kukabiliana na Stellenbosch ya Afrika Kusini, huku mastaa wa timu hiyo wakiongozwa na beki wa kati, Abdulrazack Hamza, wakitoa kauli ya kibabe.

    HAMZA Pict
  6. DAKIKA ZA JIOOONI: JKT Tanzania mipango imewalipa

    KILICHOTOKEA msimu uliopita kwa JKT Tanzania ni kama kimekuwa funzo kubwa kwa timu hiyo msimu huu baada ya kuzichanga karata zao mapema na mipango imewalipa.

    DAKIKA Pict
  7. Mastaa KenGold bado hawaamini

    MATOKEO mabaya iliyonayo KenGold inayosubiri kwa sasa miujiza ili kuepuka kushuka daraja kutoka Ligi Kuu kurudi Ligi ya Championship, imewafanya hadi wachezaji wa timu hiyo kushindwa kuamini...

    KENGOLD Pict
  8. Buswita mambo magumu Namungo

    MSHAMBULIAJI wa Namungo, Pius Buswita amekiri msimu huu amekuwa na wakati mgumu katika kasi ya kutupia mipira nyavuni, lakini amesema kama hataifikia rekodi ya msimu uliopita ya mabao saba, basi...

  9. BANKA: Kagoma anajua na Simba inabeba!

    ENZI zake za uchezaji alisifika kwa mchezo wa akili, mbinu na maarifa na kudumu kwa muda mrefu kama mmoja wa viungo bora wa kati katika soka la Tanzania.

  10. Kagera Sugar ilivyomfungulia njia Adebayor

    BAADA ya winga wa Singida Black Stars, Victorien Adebayor kufunga bao moja katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Kagera Sugar, mchezaji huyo amesema imetimiza hamu yake ya kucheka na nyavu.

    ADEBAYOR Pict
Previous

Page 8 of 158

Next