Chama la Wana lazipotezea 8-1 za Yanga LICHA ya Stand United 'Chama la Wana', kuchapwa kwa mabao 8-1, dhidi ya Yanga katika mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho (FA), kocha wa kikosi hicho, Juma Masoud amesema kichapo hicho...
Fredrick Magata bado pointi tatu tu KIUNGO mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Fredrick Magata anasubiri kwa hamu kuandika historia tamu ya maisha yake kwa kuhusika katika kuzipandisha Ligi Kuu Bara timu mbili tofauti.
Azam yasaka rekodi Kombe la Muungano BAADA ya ndoto za Azam kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu kuota mbawa, kocha Rachid Taoussi kwa sasa amehamishia nguvu katika michuano ya Kombe la Muungano, ingawa anakabiliwa na mtihani...
Mtiti wa lala salama Umeanza Championship RAUNDI ya 27 ya Ligi ya Championship inaendelea tena wikiendi hii na baada ya jana kuchezwa michezo miwili, leo itapigwa mitatu katika viwanja mbalimbali kwa kila timu kutafuta pointi tatu...
Wakali wa hat trick FA maguri, shaibu wamo WAKATI mashindano ya Kombe la Shirikisho (FA) yakitinga hatua ya nusu fainali, nyota kadhaa wamefunga ha trick katika mechi walizocheza, huku wale wa Ligi ya Championship wakitamba.
Kocha Tabora United ajichomoa KOCHA Mkuu wa Tabora United, Mzimbabwe Genesis ‘Kaka’ Mangombe imedaiwa amejiweka kando kukifundisha kikosi hicho, huku sababu kubwa ikielezwa ni kutokana na mwenendo usioridhisha wa timu hiyo...
DAKIKA ZA JIOOONI: Tabora United inasaka ufalme kimyakimya KATI ya timu ambazo unaweza kusema zinakuja kwa kasi lakini kimyakimya ni Tabora United. Inashiriki Ligi Kuu kwa msimu wa pili sasa.
Dabo apata shavu Libya ALIYEKUWA kocha mkuu wa Azam FC, Youssouph Dabo amesema ni heshima kubwa kupata nafasi ya kuifundisha timu ya taifa ya Libya, akiwa kocha msaidizi wa Aliou Cisse, aliyeipa Senegal ubingwa wa...
Vita ya Ligi Bara yahamia Shirikisho LIGI Kuu Bara imesimama kwa muda, lakini hiyo haina maana uhondo wa soka haupo kwani leo kwenye viwanja viwili tofauti, kuna vita nzito ya timu za ligi hizo zitakazoonyeshana kazi katika mechi za...
Simba yatinga nusu fainali Kombe la FA SIKU chache tu, tangu ilipoweka historia kwa kutinga nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba imekuwa klabu ya kwanza msimu huu kufuzu nusu fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho...